
27/06/2025
HARAMBEE! KATOONI-KITHUMULA NGUNI MWINGI CENTRAL!
Jumapili hii ya tarehe 29/6/2025 Barabara zoooote zinaelekea kwenye kanisa la Antioch Baptist Church - Katooni, Kithumûla sublocation, Maaî Location, Nguni Ward Mwingi Central Kitui County kwenye Harambee Kubwa ya kuchangisha hela za kumalizia ujenzi wa Kanisa hilo.
Viongozi kadhaa wa kisiasa na kiserikali watakuwepo, wanamuziki kibao, watangazaji pamoja na wenyeji kati ya na viongozi wengine.
Mhubiri wa Kanisa hilo Reverend JACKSON MWANZA na mkewe MARY wanawakaribisha nyote.
Nyooote Mwaaalikwa!