Kamulungu Tv

Kamulungu Tv NEWS | DIGITAL ADVERTISEMENTS | SPECIAL AND EXCLUSIVE INTERVIEWS | ENTERTAINMENT

Kamulungu Tv - Umo Wa Mukamba

Happy Birthday Dr. Rechael Kaki Nyamai, Mp Kitui South. DR. Rachael Kaki CBS
28/08/2026

Happy Birthday Dr. Rechael Kaki Nyamai, Mp Kitui South.

DR. Rachael Kaki CBS


MWINGI WEST, KITUI COUNTY TEAM UDA KESHO 28th August, 2026 IKO GROUND! Hon. Charles Ngusya Nguna DR. Rachael Kaki CBS   ...
27/08/2026

MWINGI WEST, KITUI COUNTY TEAM UDA KESHO 28th August, 2026 IKO GROUND!

Hon. Charles Ngusya Nguna DR. Rachael Kaki CBS



27/08/2026

Hon. Gideon Mulyungi offers Full Scholarship to a total orphan girl at Nguuni, Nuu sub county Mwingi Central Kitui County.

Follow us on Facebook Tv for more Catchy and Juicy News.



BREAKING NEWS!!! Boniface Peter Kitheka almaarufu 'Munyini' na ambaye anawania kiti cha Mca kwenye wadi ya Nuu katika en...
26/08/2026

BREAKING NEWS!!!

Boniface Peter Kitheka almaarufu 'Munyini' na ambaye anawania kiti cha Mca kwenye wadi ya Nuu katika eneo bunge la Mwingi Central katika kaunti ya Kitui mnamo mwaka 2027 amemlipia karo ya miaka miwili hadi kumaliza shule mwanafunzi Samuel Syengo ambaye anasomea shule ya upili ya Wingemi kuko huko Nuu Mwingi.

Samuel Syengo na ambaye ni kakake mwanafunzi Faith Mutanu Syengo kutoka shule ya Kathanze ambaye video yake iliyoangaziwa na Kamulungu Tv ilisambaa mitandaoni kote kote akiomba usaidizi aweze kumzika babake ambaye mwili wake ulikuwa umekwama makafani kule Elderot.

'Munyini' aliyathibitisha haya kwenye hotuba yake hapo jana kwenye mazishi ya babake Samuel Syengo.

Wanafunzi wengi wanapenda sana kumuita mwanafunzi Samuel Syengo "Kimonda" kwa jina la utani.

Aidha, Samuel ametoa shukrani sufufu kwa kiongozi huyo huku akiahidi kutia bidii masomoni.



GIDEON MULYUNGI: “Life Water Canada, hamuwezi kuja Mwingi Central mchimbie watu boreholes bila kuniambia ama kuhusisha w...
26/08/2026

GIDEON MULYUNGI: “Life Water Canada, hamuwezi kuja Mwingi Central mchimbie watu boreholes bila kuniambia ama kuhusisha wananchi, I want to tell you that this is Mwingi Central in Kitui county, in Kenya. We do not like corruption. You must involve me in whatever community project you do, If you don't do that, you can take your boreholes back to Canada. Hatutaki!"

Maoni yako ni yepi?



BREAKING NEWS!!! Peninah Malonza na ambaye ametangaza rasmi kuwania kiti cha ugavana katika kaunti ya Kitui mnamo mwaka ...
25/08/2026

BREAKING NEWS!!!

Peninah Malonza na ambaye ametangaza rasmi kuwania kiti cha ugavana katika kaunti ya Kitui mnamo mwaka 2027 amemlipia karo yote hadi kumaliza shule kidato cha nne mwanafunzi Joshua Kiteme Syengo kutoka shule ya upili ya Kathanze, kwenye kata ya Wingemi wadi ya Nuu Mwingi ya kati katika kaunti ya Kitui.

Kiteme ni kakake mwanafunzi Faith Mutanu Syengo wa gredi ya tisa katika shule ya Kathanze Comprehensive School kuko huko Nuu Mwingi ambaye video yake ilisambaa mitandaoni akiomba wakenya wamsaidie kumzika babake ambaye mwili wake ulikuwa umekwama katika chumba kimoja cha kuhifadhia maiti kule Eldoret.

Wanakijiji hatimaye waliungana pamoja na kushughulikia shida hiyo na mwendazake amezikwa leo nyumbani kwake huko Kyunduani, Wingemi Nuu Mwingi huku Peninah akitumana karo hiyo yote kwenye hafla hiyo ya mazishi.

Kiteme amemshukuru zaidi kiongozi huyo huku akiapa kutia bidii ya mchwa masomoni.

Peninah Malonza



Babake mwanafunzi Faith Mutanu Syengo na aliyekuwa anaomba usaidizi aweze kusaidiwa kumzika babake hatimaye amezikwa hii...
25/08/2026

Babake mwanafunzi Faith Mutanu Syengo na aliyekuwa anaomba usaidizi aweze kusaidiwa kumzika babake hatimaye amezikwa hii leo jioni nyumbani kwake kwenye kijiji cha Kyunduani, kata ndogo ya Malawa, kata ya Wingemi wadi ya Nuu katika eneo bunge la Mwingi ya kati katika kaunti ya Kitui.

Wengi waliofika kwenye hafla hiyo wameelezea mawaidha mengi waliopata kutoka kwa mwendazake ambayo yanawasaidia maishani hadi wa leo.

Familia wametoa shukrani sufufu kwa majirani na marafiki waliojitokeza kushikana mkono kuwasaidia kwenye shughuli hizo za mazishi.

Mwendazake ameacha mjane na watoto 7; wavulana 5 na wasichana 2.



 Gari lililokuwa limeubeba mwili wa babake mwanafunzi Faith Mutanu Syengo na aliyekuwa akiomba usaidizi kupitia runinga ...
25/08/2026


Gari lililokuwa limeubeba mwili wa babake mwanafunzi Faith Mutanu Syengo na aliyekuwa akiomba usaidizi kupitia runinga ya Kamulungu Tv wa kusaidiwa kumpuzisha babake kwa jina Alexander Syengo almaarufu Musee Mbuvi limefika nyumbani kwake kule Kyunduani, Malawa Sublocation, Wingemi Location Mwingi Central Kitui County kwa hafla ya mazishi mwendo wa 8:58a.m.

Stay tuned for more details.



24/08/2026

JOE MUTAMBU: MULYUNGI TANGAASA VALA UTHI KUSUNGA NA SYANA SYA SUKULU NA TUKWITHIANA VO, UKASEMBA UNDIE!



  Alexander Syengo(Musee Mbuvi/Musee Kalîlwa). Familia wanaomba kuwaalika nyote kwenye mazishi yake hapo kesho Jumanne 2...
24/08/2026

Alexander Syengo(Musee Mbuvi/Musee Kalîlwa).

Familia wanaomba kuwaalika nyote kwenye mazishi yake hapo kesho Jumanne 25/8/2026 at his Kyunduani Residence, Malawa Sub-location, Wingemi Location Nuu Sub County Mwingi Central Kitui County.

Familia pia wanawashukuru wananchi wote walioungana pamoja kuhahakisha bill ya mortuary imelipwa mara moja; barikiweni sana wadau.

Mtoto aliyepeperusha habari kupitia runinga ya Kamulungu Tv akiomba asaidiwe kumzika babake pia ametoa shukrani spesheli kwa wote waliosikia kilio chake mtandaoni na kumsaidia.

*Thyumua na mûuo



Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamulungu Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kamulungu Tv:

Shortcuts

Share