12/06/2026
Kipa wa Afrika Kusini, Ronwen Williams, baada ya kufungwa na Mexico:πΏπ¦π
"Waafrika wamekuwa wakiziunga mkono nchi nyingine za Afrika katika kila mashindano ya Kombe la Dunia, lakini siwezi kuelewa kwa nini hali yetu ni tofauti. Waafrika wengi waliiunga mkono Mexico badala yetu sisi, Waafrika Kusini"
"Tulikaribia kulia kwa huzuni, lakini kwa kweli jambo hili linasikitisha. K**a Waafrika, tusimamiane, tushikamane na tuunge mkono wenzetu."