15/12/2025
"Matatizo ya ubongo husababishwa na mambo mbalimbali k**a vile jeraha, meningitis, uvimbe wa ubongo (tumor), cerebral palsy, na ulemavu wa akili wa aina ya autism." - DKT. Isaac Chesoni Chetambe, Mtaalamu Wa Mfumo Wa Neva (Neurologist)