18/03/2021
Zuchu amekita mizizi na kushadidi hususani katika eneo la Afrika Mashariki.Baada ya wimbo wake sukari alipata umaarufu mno na kushabikiwa na wengi,jina sukari lilikuwa salamu za waamkaje wa asubuhi,hujambo ya mchana na umeshindaje ya jioni.Nduru za kuaminika zilishamiri na kusheheni na kusemekana ya kwamba alijituma na kulala na Diamond platinumz ili apate umaarufu lakini akapinga na kusema yote yalikuwa udaku.
Zuchu amekita mizizi na kushadidi hususani katika eneo la Afrika Mashariki.Baada ya wimbo wake sukari alipata umaarufu mno na kushabikiwa na wengi,jina sukari lilikuwa salamu za waamkaje wa asubuhi…