Ruben FM

Ruben FM Ruben FM is Mukuru's first ever community radio station! Based in Mukuru kwa Ruben, the station aims to unganisha jamii - Unify the community.
(2)

Ruben FM broadcasts from the Ruben Centre - an oasis of hope that provides support to the residents of Mukuru. This station provides a platform for up-and-coming artists, a chance to broadcast news and current affairs and will give a voice to the voiceless. Tune in to 99.9 to get all the lastest information and entertainment from your favourite presenters.

07/08/2026

ya tatu ndani ya mishe mishe.
time. hour.
Niambie unawatakia kina nani lunch poa na wakiwa wapi kisha uniambie unataka nikuchezee kibao kipi.
Call/SMS/WhatsApp 0797146710

07/08/2026

ya pili ya Mishemishe.
Mwanamume amkanyaga mkeo kwa gari mbele ya watoto wake ili kuweza kuwachukua wanawe baada ya kutengana na mkeo. Ni njia ipi watoto wanaweza saidiwa kwa swala hili?
0797146710

Good morning MwanaMishe. πŸ€— Karibu ndani ya kipindi cha Mishemishe. Ungana nami Christine Odero ama ukipenda Tina. Saa nn...
07/08/2026

Good morning MwanaMishe. πŸ€— Karibu ndani ya kipindi cha Mishemishe. Ungana nami Christine Odero ama ukipenda Tina. Saa nne mpaka saa nane. Karibisha wawili watatu kwenye kipindi. Call/SMS/ WhatsApp @ 0797146710

07/08/2026
07/08/2026

GUMZO:
Jukumu la vijana ni lipi katika kuhakikisha amani inapatikana wakati taifa likielekea uchaguzi mkuu?

GUMZO:Jukumu la vijana ni lipi katika kuhakikisha amani inapatikana wakati taifa likielekea uchaguzi mkuu?Call/SMS/Whats...
07/08/2026

GUMZO:
Jukumu la vijana ni lipi katika kuhakikisha amani inapatikana wakati taifa likielekea uchaguzi mkuu?
Call/SMS/Whatsapp:0797146710 talk to us

Magazetini:
07/08/2026

Magazetini:

Ni Furahi Dei ndani ya Changamka Show nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri mpaka saa nne asubuhi.Umerauka vipi? Nani ar...
07/08/2026

Ni Furahi Dei ndani ya Changamka Show nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri mpaka saa nne asubuhi.
Umerauka vipi? Nani arauke?
Good morning 🌞🌞🌞
Call/SMS/Whatsapp:0797146710 talk to me

Thanksgiving Friday! Unabarikiwa ukiwa wapi? Peperusha bendera uonekane katika Ibada ya Mawimbi ya baraka.Stream live kw...
07/08/2026

Thanksgiving Friday! Unabarikiwa ukiwa wapi? Peperusha bendera uonekane katika Ibada ya Mawimbi ya baraka.
Stream live kwa Radioline app.

Address

Falcon Road
Nairobi
00200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ruben FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ruben FM:

Shortcuts

Share

Category