LOOK UP TV

LOOK UP TV Look Up Tv is a free to air, fully commercial and solution focused tv station based in Nairobi, Kenya www.look-up.tv

19/01/2026

Matokeo Ya Mechi Ya Fainali Ya Kipute Cha Afcon
Jumapili Tarehe 18/01/2026
Senegal 1-0 Morocco

19/01/2026

.Matokeo Ya Mechi Za Ligi Kuu Ya Uingereza
Jumamosi Tarehe 17/01/2026
Jumapili Tarehe 18/01/2026

19/01/2026

Timu Ya Kandanda Ya Nairobi United Ni Yenye Imani Kwamba Itaishinda Kenya Police Fc Ugenini Ugani Police Sacco Hii Leo Saa Kumi Alasiri Kwenye Mechi Ya Ligi Kuu Ya Sportpesa.

19/01/2026

Timu Ya Kandanda Ya Gor Mahia Imeishinda Mara Sugar Mabao Matatu Kwa Nunge Ugani Nyayo Kwenye Mechi Ya Ligi Kuu Ya Sportpesa.

19/01/2026

Timu Ya Kandanda Ya AFC Leopards Imetoka Nyuma Na Kuipepeta Aps Bomet Mabao Mawili Kwa Moja Ugani Nyayo Kwenye Mechi Ya Ligi Kuu Ya Sportpesa.

19/01/2026

Timu Ya Kandanda Ya Shabana Imeinyuka Sofapaka Bao Moja Kwa Nunge Ugani Gusii Katika Kaunti Ya Kisii Kwenye Mechi Ya Ligi Kuu Ya Sportpesa.

19/01/2026

Timu Ya Kandanda Ya Migori Youth Imetoka Nyuma Na Kuishinda Naivas Mabao Manne Kwa Mawili Kwenye Mechi Ya Ligi Ya Nsl.

19/01/2026

Timu Ya Kandanda Ya Akina Dada Ya Ulinzi Starlets Imeishinda Kibera Soccer Women Mabao Mawili Kwa Nunge Ugani Ulinzi Sports Complex Kwenye Mechi Ya Ligi Kuu Ya Akina Dada Nchini.

Alfred Mumbo~ODM is a party that has reached political menopause.
19/01/2026

Alfred Mumbo~ODM is a party that has reached political menopause.

Jared Oyie~ODM will not break . What we have right now is ideological differences . We shall get the party back together...
19/01/2026

Jared Oyie~ODM will not break . What we have right now is ideological differences . We shall get the party back together .

Jared Oyie~I believe in ODM party . Not a personality. And where we are I think the ambitious leaders within ODM are not...
19/01/2026

Jared Oyie~I believe in ODM party . Not a personality. And where we are I think the ambitious leaders within ODM are not given a chance to show that yes, we are capable of doing this

19/01/2026

Alfred Mumbo ~The mighty ODM party needs to be able to salvage itself as early as yesterday. How do they need to do it? One, as I've already said, they need to get a sober.

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LOOK UP TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LOOK UP TV:

Share