13/11/2025
Chuma 20 already installed upande wa roofing imebaki chuma nne pekee na leo usiko moja inawekwa so zitakua zimebaki tatu pekee. then hapo nyuma mumeekewa Curtain wall ya hewa safi na kuavoid watu kuanguka na huko nyuma ya stadium 😂, hii material ya white inakaa mabati then hiyo place arroe mbili ziko skyboxes zimemeanza kuundwa .