02/11/2025
SEEN : Bwanangu amekuwa akienda Kanisa lakini sasa hio Kanisa imezidi, kila Sunday wanampea bahasha ya kuweka pesa sasa k**a mwezi mzima alikuwa mgonjwa hakuwa anaenda kazi wala Kanisa sasa ikabidi mimi nifunge kazi yangu kidogo niende kwa biashara yake juu ndio inaingiza pesa nyingi kiasi kuliko yangu na kazi ikaendelea tu vizuri, vile alipona hao wazee wa Kanisa akawaita kwa nyumba ati warudishe shukrani kwa Mungu na waombe na akaniambia wanakuja so mimi nikapika chai na mikate nikapata blueband juu walikuja jioni Sunday after church, nikawakaribisha tu vizuri na nikaweserve, kumaliza kuomba na kunywa chai hapo ndio wakapea bwanangu bahasha nne ati ndio aweke pesa za mchango ya church ya mwezi mzima yenye alikuwa mgonjwa, bwanangu akaniitisha 8k ndio aweke 2000 kwa kila bahasha kulingana na vile niliskia wakiongea, nilijifanya sikuskia vile wanasema nikauliza bwanangu 8k ni ya nini? Ndio mzee mmoja wa hio church akaniambia ati ni mchango ya church ya whole month yenye hajaenda, nikaambia bwanangu point blank hakuna pesa nawapea, alinifuata bedroom kuniuliza hio ni aibu gani naleta nikamwambia hao wazee kila mtu aende atafute pesa hapo kwetu sio π§ akaleta shida na mimi nikakatalia hapo na nikasema hakuna pesa nawapea, hao wazee walianza kuomba in tongues wakinikemea na hapo ndio nilifungia bwanangu bedroom na nikachukua kifagio jikoni nikafukuza hao wazee kutoka 4th floor hadi ground hata mmoja aliwacha viatu nilimrushia kutoka kwa balcony hadi chini. Mpaka leo bwanangu amekataa kuniongelesha lakini mimi naye sibabaiki, nipatie wazee wako na mikono pesa badala wakafanye kazi? Hapo niko na makosa kweli?