
14/12/2024
Klabu ya Manchester City imeonyesha nia ya kumsajili kiungo Paul Pogba k**a mchezaji huru. Japokuwa Pogba hajaonyesha utayari wa wazi wa kujiunga na Manchester City kutokana na historia yake ya kuwahi kuitumikia Manchester United.