12/12/2025
"Line nilipewa wasn't good ya mwisho na niko na shida na kukata sharp corners maana miguu yangu yote imebaki ila nilishinda murwanda atleast i feel good. Habari njema nilimaliza vizuri na sikuzimia hata kidogo."Peter Salasya Mp Mumias Mashariki baada ya kushiriki mbio za wabunge wa Afrika Mashariki huko Uganda.