
02/09/2025
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko amedai kwamba harakati za kumtimua gavana Johnson Sakaja hazielekei popote.
Kulingana naye, MCAs wa Nairobi wamekusanyika katika mkutano na vigogo wa kisiasa huko Upper Hill ili kumwokoa gavana huyo anayekabiliwa na mzozo.
"Hakuna mahali inaenda. Majamaa waliomba 5M kwa kila mtu. Tunapozungumza, wako mahali fulani ndani ya Upper Hill na mdosi flani wakijadiliana," Sonko.