
15/05/2025
Gachagua amemteua Cleophas Malala kuwa Naibu wa Chama cha Democracy for Citizens Part (DCP).
Gachagua amezindua chama hicho leo (Alhamisi) ambapo amewataja viongozi wengine wakuu; akitangaza kuwa uzinduzi rasmi utafanyika Juni, tarehe 4.