Auntie Tabby

Auntie Tabby Mother|Journalist|News Reporter |News Presenter/Anchor|Producer|Voice Over Artist|Mentor|Script Writer|Women Empowerment Champion.

22/09/2026


Anasema ni muhimu Sana kuwafunza watoto lugha ya nyumbani-vernacular. Maoni yako?

22/09/2026



Wataje watatu ukiwatakia lunch poa kisha itisha kibao kimoja nikuchezee.

Studioni ninaye Lucy Adhiambo,mwalimu katika shule ya Ruben AEF primary special unit akizungumza kuhusu watoto wenye ule...
22/09/2026

Studioni ninaye Lucy Adhiambo,mwalimu katika shule ya Ruben AEF primary special unit akizungumza kuhusu watoto wenye ulemavu na umuhimu wa kuwahusisha kwa michezo mbalimbali ya watu wenye ulemavu. Unadhani ni kwanini wazazi wengi huwa wanakataa watoto wao wenye ulemavu wahusishwe kwa hii michezo?
Call/SMS/WhatsApp 0797146710

22/09/2026

Gumzo;
Jamaa alimkuta mke wake kwa nyumba na mwanaume mwingine. Akaanza kuwachapa wote kwa pamoja. Alifanya Sawa? Kulingana nawe,angefaa kufanya nini zaidi?

Call/SMS/WhatsApp 0797146710

šŸ“·

Good morning MwanaMishe! Karibu kwenye kipindi cha    hadi saa nane mchana nami Auntie Tabby  . Wakaribishe wawili watat...
22/09/2026

Good morning MwanaMishe! Karibu kwenye kipindi cha hadi saa nane mchana nami Auntie Tabby . Wakaribishe wawili watatu kwenye show.
Call/SMS/WhatsApp 0797146710

21/09/2026
21/09/2026

TPO AND REPRODUCTIVE HEALTH AND RIGHTS

Leo kwenye Elimika na Auntie Tabby, tunaangazia habari ambayo imeibua maswali miongoni mwa wanaopenda gel nails.

Uingereza-UK imeweka vikwazo kwa kemikali inayojulikana k**a TPO, ambayo hutumika katika baadhi ya bidhaa za gel nails kusaidia kucha kuganda zinapowekwa chini ya UV au LED light.

Wasiwasi mkubwa ni kwamba TPO imeainishwa kuwa kemikali inayoweza kuwa na madhara kwenye mfumo wa uzazi yaani kwa reproductive health,na inaweza kufanya mtu awe infertile.

Lakini hapa kuna jambo muhimu: hii haimaanishi kwamba gel nails zinasababisha utasa kwa kila mtu anayezitumia. Wasiwasi ni kuhusu kemikali hiyo na madhara yake yanayoweza kutokea, hasa kulingana na aina na kiwango cha exposure.

Kwa hiyo, k**a unapenda gel nails, usipanik—jiulize bidhaa unayotumia ina ingredients gani, na k**a ina TPO au ni TPO-free. Na kwa wanaofanya kazi kwenye nail salons, ni muhimu pia kuzingatia usalama kwa sababu wanaweza kuwa exposed mara kwa mara.

Urembo ni muhimu, lakini afya ni muhimu zaidi. Soma labels, uliza maswali, na pata taarifa sahihi kabla ya kutumia bidhaa.


21/09/2026


Jamaa wawili kwa matatu walimana ngumi wakipigania kiti kilicho karibu na dirisha. Unadhani shida ni nini haswa?
šŸ“· Courtesy; 254 News/Facebook

21/09/2026



Wataje watatu ukiwatakia lunch poa kisha itisha kibao kimoja nikuchezee.

21/09/2026

Mazungumzo awamu hii;
Etti siku hizi wizi pia ni kazi. Tufanyeje kuhusu visa vya wizi vinavyoendelea kuongezeka kila uchao?
ndani ya

Address

Nairobi
20094-00200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Auntie Tabby posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share