
20/09/2024
Ukimaliza kupika mayai🥚🥚🤷usitupe maganda au shells.fuata haya maagizo
1.chukua shells zako vizuri Eka kwa bakuli🥣.
2.tafuta roller ya Chapo bondabonda hyo shells.
3.ongeza chumvi kijiko Moja na maji one jug.
4.akisha gas au jiko weka hyo mchanganyiko kwa sufuria Kisha pika 10-15 minutes Kisha toa kw jiko
5.chukua hiyo vitu umepika enda mwaga kwa takataka juu hata Mimi sijui umepika nini sasa labda wendawazimu imekufikia polepole😂😂😂