
15/08/2025
o Wasanii 🎶
Before you start chasing ma-paying gigs, build yourself kwanza!
Everybody anataka ma-bookings za dooh. Lakini ukweli ni hii — ma-events zenye zinalipa poa si charity shows. Ni biz moves. Ma-organizers wana-invest juu wanaamini unaweza kuleta watu, energy na hata pesa kwa event yao.
Saa zingine utapata gig tu ya “kujaza stage,” lakini hizo ni rare na hazilipi sana. Majority ya ma-paid gigs wanataka u-pull wasee 100, 200 ama hata 500 kwa event.
Sasa jiulize:
✅ Una followers kwa socials zako?
✅ Ngomaz zako zina-stream real kwa Spotify, Apple, Audiomack na platforms zingine?
✅ Profile yako inaonekana fresh, attractive na professional?
✅ Una ma-video zikishow stage energy yako?
✅ Unajimarket consistently ama unalost?
K**a answer ni NO kwa hizo maswali, fanya kazi hapo kwanza before ukimbize ma-paying gigs.
Juu ukweli ni hii — haijalishi uko talented aje, k**a huwezi ku-bring audience, ma-event organizers hawawezi kukuona k**a investment.
Mara mob ma-artists huniambia “bro, nisaidie nipate ma-paying gigs,” lakini nikiskia hawajabuild brand yao bado, lazima niwakatie. Juu reputation ni kitu kubwa. Bora nikusaidie kujijenga k**a msanii kila mtu anataka ku-book, kuliko nikusukume gig bado hujaprepare.
💡 Focus kwa building: Grow your audience. Boost your performance. Drop ma-contents. Na ma-bookings zitakuja naturally ukiwa worth booking.
NAIWE SONG 💖🙏
NOW TRENDING 😭 ON TIKTOK JOIN US 🚀
https://onerpm.link/249108516351
OFFICIAL VIDEO DROPPING SOON 🤲😍 NAIWE