Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya Kenya's Premier TV Station. Breaking News / Entertainment / Your Favourite Local TV Shows.

01/01/2026

Ruto Akemea Upinzani:

Rais amkashifu Kalonzo akisema hajasaidia Ukambani

Rais asema upinzani hauna sera na hauwezi kumshinda

Ruto asema matusi anayorushiwa na upinzani hayamtishi

Rais alikuwa akizungumza uwanja wa Bukhungu, Kakamega

01/01/2026

Oburu: Nitakuwa Debeni 2027

Oburu Odinga asema ndiye mgombea wa urais wa ODM

Kinara huyu wa ODM asema nafasi ni yake bila pingamizi

Amesema yuko tayari kumenyana na Rais Ruto debeni

01/01/2026

Fataki Zapata Umaarufu:

Wakenya washabikia zaidi utumiaji wa fataki mwaka mpya

Aina mbalimbali za fataki zimekuwa zikitumika hapa nchini

Mwaka mpya wa 2026 ulikaribishwa na mbwembwe za fataki

Nyumba yateketea Kiambu baada ya mtoto kuwasha fataki

01/01/2026

Mauaji Ya Kijana Mombasa:

Kijana wa miaka 14 alipigwa risasi katika eneo la Utange

Dennis alikuwa ametoka kuhudhuria sherehe ya mwaka mpya

Polisi wawili wadaiwa kumuandama na kumpiga risasi

Familia na wanaharakati wanataka majibu na uwajibikaji

01/01/2026

Mwaka Mpya Wa Kirinyaga:

Wakazi wajumuika na maafisa wa polisi kusherehekea 2026

Wakazi wapongeza kazi ya polisi wa eneo la Kiamutugu

Wanasema polisi wameshirikiana nao kupunguza uhalifu

Hili si jambo la kawaida kwa wakazi kuungana na polisi

01/01/2026

Mwaka Mpya 2026:

Wakenya wajumuika sehemu mbalimbali kuukaribisha 2026

Maeneo ya burudani Nairobi yalijaa pomoni na Wakenya

Majumba kadhaa pia yaliwasha baruti kukaribisha mwaka

01/01/2026

Ujumbe Wa Makanisa:

Viongozi wa makanisa wataka serikali kuwajibikia uchumi

Ole Sapit asema Wakenya wamebanwa na gharama ya maisha

Askofu Anyolo wa Katoliki atoa wito wa umoja nchini

Makanisa yaliandaa ibada sehemu mbalimbali hapa nchini

01/01/2026

TAZAMA |

NACADA pledges stronger action against alcohol and drug abuse
01/01/2026

NACADA pledges stronger action against alcohol and drug abuse

The National Authority for the Campaign Against Alcohol and Drug Abuse (NACADA) has reiterated its commitment to combating alcohol and substance...

Fofana reckons 'small details' restricting Chelsea's progress
01/01/2026

Fofana reckons 'small details' restricting Chelsea's progress

David Brooks gave Bournemouth the lead after six minutes before Cole Palmer equalised from the penalty spot.

DR Congo accuses Rwanda of killing 1,500 civilians in past month
01/01/2026

DR Congo accuses Rwanda of killing 1,500 civilians in past month

The Democratic Republic of Congo has accused Rwanda of killing more than 1,500 civilians in the Congolese east since early December, when the...

Injury setback for Ingwe as Mugane is sidelined, Alushula nears return
01/01/2026

Injury setback for Ingwe as Mugane is sidelined, Alushula nears return

His injury compounds a frustrating start to life at the den, where he had struggled to find the back of the net before being sidelined.

Address

Communication Centre, Maalim Juma Road, Off Dennis Pritt Road
Nairobi
00200

Website

http://www.youtube.com/kenyacitizentv, http://twitter.com/citizentvkenya, https://www.citi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Citizen TV Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share