JICHO TV KENYA

JICHO TV KENYA Broadcasts breaking news and top stories in the development arena across the country with a focus on

"Wewe Sifuna mambo yako iko sawa, hapo Nairobi sioni mambo yako ikiharibika. Mambo yalo itaharibika tu ukienda kwa Kason...
03/01/2026

"Wewe Sifuna mambo yako iko sawa, hapo Nairobi sioni mambo yako ikiharibika. Mambo yalo itaharibika tu ukienda kwa Kasongo na tutakukimbiza k**a baiskeli ya kuibiwa!"~Gachagua to Sifuna face to face.

"Ruto wacha kutuita wakabila juu tumekukataa, tukikuchagua tukijua wewe ni mkalenjin na ulituhangaisha 2007 na kuua wato...
03/01/2026

"Ruto wacha kutuita wakabila juu tumekukataa, tukikuchagua tukijua wewe ni mkalenjin na ulituhangaisha 2007 na kuua watoto wetu pale Kiambaa. Vile tulikupea kura tunaweza pea Sifuna, Kalonzo, Matiang'i ama Oburu!"~Gachagua

"Hata hii mzee inaitwa Oburu nimesikia anataka urais. Sifuna ambia hiyo mzee akuje aongee na sisi. Tukisikizana ni yeye ...
03/01/2026

"Hata hii mzee inaitwa Oburu nimesikia anataka urais. Sifuna ambia hiyo mzee akuje aongee na sisi. Tukisikizana ni yeye kura zetu zote za mlima zitumuendea, ile mtu hawezi pata kura yetu hata moja ni Kasongo!"~Gachagua

"Hatuwezi simamisha candidate kupigana na Kasongo saa hizi juu Kasongo atamuhangaisha. Kibaki alitangazwa kuwa President...
03/01/2026

"Hatuwezi simamisha candidate kupigana na Kasongo saa hizi juu Kasongo atamuhangaisha. Kibaki alitangazwa kuwa Presidential candidate miezi mbili kabla ya uchaguzi na akashinda. Kwa hivyo mtulie, hata tukiamua ni Oburu tutampea kura!"~Gachagua.

"Niko na askari ishirini pekee DCP ambao wamezuia Ruto kuingia mlima, sasa nataka mniongezee askari wengine 150 ili nisa...
03/01/2026

"Niko na askari ishirini pekee DCP ambao wamezuia Ruto kuingia mlima, sasa nataka mniongezee askari wengine 150 ili nisaidie hii mlima kurudi serikalini. Wale nilidhani niko nao walituuza kwa Kasongo na bei ya jioni!"~Gachagua.

"Mimi naona akidanganya wajaluo akiwasalimia na kijaluo, hao wajaluo watuulize sisi watu wa mlima. Alitudanganya na mamb...
03/01/2026

"Mimi naona akidanganya wajaluo akiwasalimia na kijaluo, hao wajaluo watuulize sisi watu wa mlima. Alitudanganya na mambo ya pesa kwa sababu ya sisi ni wanabiashara, anadanganya wajaluo na mamobo ya Singapore kwa sababu hao wanapenda vitu mzuri mzuri!"~Gachagua takes a swipe at Ruto.

"Tulisimama na William Ruto na alikuja hapa na Bibilia akatudanganya, siku hizi hakuji tunamuona tu huko Kisumu na Siaya...
03/01/2026

"Tulisimama na William Ruto na alikuja hapa na Bibilia akatudanganya, siku hizi hakuji tunamuona tu huko Kisumu na Siaya!"~Gachagua.

"Kasongo amenunua ODM na Kasongo atakufukuza, Junet na Wanga washakula deposit. Ukifukuzwa you have a home in DCP!"~Gach...
03/01/2026

"Kasongo amenunua ODM na Kasongo atakufukuza, Junet na Wanga washakula deposit. Ukifukuzwa you have a home in DCP!"~Gachagua to Sifuna.

"Uhuru alisaidia ODM. Junet awache kutusi Uhuru Kenyatta, si rika yake, wamuheshimu. Shida ya ODM ni Kasongo, si Uhuru!"...
03/01/2026

"Uhuru alisaidia ODM. Junet awache kutusi Uhuru Kenyatta, si rika yake, wamuheshimu. Shida ya ODM ni Kasongo, si Uhuru!"~Gachagua tells Sifuna.

"Kuna mshenzi mmoja ametambua kwamba pesa ya Uhuru imeanza kuwa mbaya, k**a si wewe tungekuwa kwa serikali!"~Sifuna roas...
03/01/2026

"Kuna mshenzi mmoja ametambua kwamba pesa ya Uhuru imeanza kuwa mbaya, k**a si wewe tungekuwa kwa serikali!"~Sifuna roasts Junet infront of Gachagua.

"Hii vita ninaelekezwa ODM ni kwa sababu ninasema 'Ruto wantam'!"~Sifuna.
03/01/2026

"Hii vita ninaelekezwa ODM ni kwa sababu ninasema 'Ruto wantam'!"~Sifuna.

"Pale nyumbani kwetu ni wantam, wale wote walikuwa wanasupport Raila hawataki Kasongo. Mashini za kuregister wapiga kura...
03/01/2026

"Pale nyumbani kwetu ni wantam, wale wote walikuwa wanasupport Raila hawataki Kasongo. Mashini za kuregister wapiga kura tutaingiza mpaka Quiver ili tutoe Kasongo. Kenya cannot another 5years of Kasongo!"~Sifuna.

Address

Kenyatta Avenue
Nairobi
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JICHO TV KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category

We create value for our investors and positively influence the society by providing media that informs, educates & entertains

Subscribe to our YouTube channel via the link below, https://www.youtube.com/c/JichoTVKenya