Benchumba Studios

Benchumba Studios Benchumba Studios is a Kenyan media and news company producing original news, human-interest stories, documentaries and digital content from across Kenya.

We tell stories that inform, engage and give communities a voice.

02/09/2026

Sekunde chache tu… kila kitu kikabadilika. 😳

Journalist Alex Kiprotich akiwa kwenye hali ya kutisha usiku wa kuamkia leo.

Tazama kilichotokea. 👇🏽

01/09/2026

Kabla ya kifo chake, Rosemary alikuwa amefanya jambo hili kwa ajili ya watoto wake…

Je, alikuwa amejiandaa kwa maisha yao ya baadaye?

Sikiliza alichofanya.

01/09/2026

Walilala JKIA… asubuhi bado hawajui wataondoka lini. 😳✈️

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa uwanjani mapema leo.

Wewe ungeendelea kusubiri au ungeondoka?

31/08/2026

Post-mortem imefichua kilichotokea kwa Rosemary… 👀

Danstun Omari leo amezungumzia pia hali iliyokuwa ikiendelea kabla ya kifo chake.

Tazama alichosema. 👇🏽

30/08/2026

Sudi ametoa ujumbe mzito kwa watu wa Mt Kenya. 👀🔥

Lakini alichosema kinaweza "Kuguza Murima"

Tazama mwenyewe. 👇🏽

30/08/2026

2032 imeanza kuzungumzwa mapema hivi? 👀🔥

Sudi tayari anaona 2032…leo ametaja jina la mtu anayesema anaweza kuwa Rais mwaka 2032.

Na mpango wake ni huu… 👇🏽

30/08/2026

Katibu Mkuu wa COTU, Francis Atwoli : “Sisi hatuogopi!” 🔥👀

Kauli hii haikusemwa bure…..Alikuwa anawaambia nani?

30/08/2026

“Huyu anataka kuwa kila kitu?” 👀🔥

Murkomen amefunguka kwa ukali kuhusu IEBC na viongozi wa Opposition.

Lakini mfano aliotumia ndiyo utashtua wengi… 👇🏽

30/08/2026

“Siku zako zinahesabika…” 👀🔥

Natembeya leo Meru ameibua madai mazito kuhusu usajili wa wapiga kura na vitambulisho.

Lakini ujumbe wake kwa Ruto ndio umeibua swali kubwa…

Tazama hadi mwisho. 👇🏽

29/08/2026

Rais William Ruto amefanyiwa hivi leo… 👀🔥

Tukio hili limetokea wakati wa mkutano wake na viongozi wa jamii ya Teso jijini Nairobi.

Lakini kilichotokea mbele ya viongozi hao kimezua udadisi…

Kwa nini? Tazama hadi mwisho. 👇🏽

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Benchumba Studios posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share