Bahari Fm

Bahari Fm The coastal market woke up in September 2008, to a new station from Royal Media Services. Bahari FM’s tag line is Nuru ya Roho’
(1)

The word “Bahari” is the Kiswahili term for ocean, giving the station an immediate identity to the coastal people.

Afisa wa afya, Boas Nyachiro, amewataka wanaokohoa mara kwa mara kufika hospitalini kwa uchunguzi na matibabu ya mapema
13/08/2025

Afisa wa afya, Boas Nyachiro, amewataka wanaokohoa mara kwa mara kufika hospitalini kwa uchunguzi na matibabu ya mapema

13/08/2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kwa ushirikiano na maafisa wa ulinzi na ujasusi, ataanza mapitio ya hadhi hiyo ndani...
13/08/2025

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kwa ushirikiano na maafisa wa ulinzi na ujasusi, ataanza mapitio ya hadhi hiyo ndani ya siku 90, huku ripoti ya siri ikitarajiwa kuwasilishwa ndani ya miezi sita

Rais Ruto pia ameikosoa mahakama kwa kuruhusu watuhumiwa wa ufisadi kukwepa adhabu kupitia maagizo ya kuzuia kukamatwa
13/08/2025

Rais Ruto pia ameikosoa mahakama kwa kuruhusu watuhumiwa wa ufisadi kukwepa adhabu kupitia maagizo ya kuzuia kukamatwa

James Baraka Mwanzala amesema mpango huo umewavutia vijana 30 wanaofanya mazoezi kila jioni, na sasa wanatafuta msaada w...
13/08/2025

James Baraka Mwanzala amesema mpango huo umewavutia vijana 30 wanaofanya mazoezi kila jioni, na sasa wanatafuta msaada wa vifaa vya michezo ili kuendeleza juhudi zao

😅Naskia watu wanaotumia mkono wa Kushoto hua hawashibi haraka....ni ukweli ama😅
13/08/2025

😅Naskia watu wanaotumia mkono wa Kushoto hua hawashibi haraka....ni ukweli ama😅

WCW ndo issue hewani hivi sasa na Hakika Mapenzi ,Uko code gani oee
13/08/2025

WCW ndo issue hewani hivi sasa na Hakika Mapenzi ,
Uko code gani oee

Habari, naitwa Nelly nina umri wa miaka 31.Nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tuliependana sana.Baba wa huyu mpen...
13/08/2025

Habari, naitwa Nelly nina umri wa miaka 31.Nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tuliependana sana.Baba wa huyu mpenzi alikuja kuwa mgojwa ikabidi akope pesa bank iliaweze kumtibia babake,lakini zilikuwa hazitoshi so akaniomba nimkopee laki tano iliajalize babake asafiri kwa matibabu India.Nilimuonea huruma nikamkopea laki tano kwa sacco yetu ya kazini ili babake apate matibabu.Bahati mbaya yule baba alifariki wakati pesa zilikuwa zishatumika.Maagano yetu ilikua kila mwisho wa mwezi atakuwa akilipa yeye lile deni.Sasa imepita miezi saba kila nikimuuliza ni vipi kuhusu kulipia deni hanipi ushirikiano.Nimekua nakatwa mimi ,na hata hana mawasiliano na mimi hadi ni mtafute kupitia kwa rafiki yake au mdogo wake.Nimechanganyikiwa jamani nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili deni langu lilipwe?
.

Ndo mwanzo mkoko unaalika maua ndani ya Tuko Bomba nae Laaziz Farida Ali. Jisogeze tumumunye utamuuu. Weee huogopi
13/08/2025

Ndo mwanzo mkoko unaalika maua ndani ya Tuko Bomba nae Laaziz Farida Ali. Jisogeze tumumunye utamuuu. Weee huogopi

Masaa ya Kutubuti na Captain Lolo. Tutoe kutu wapi?
13/08/2025

Masaa ya Kutubuti na Captain Lolo. Tutoe kutu wapi?

Address

Nairobi

Telephone

+254713600931

Website

http://baharifm.co.ke/?q=bah#, http://www.youtube.com/kenyacitizentv, https://www.tiktok.co

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bahari Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share