KBC Radio Taifa

KBC Radio Taifa Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Intelsat

(Free to air)


1.
(692)

Sikiliza KBC Radio Taifa:

92.9 FM: Nairobi na viunga vyake, Central, South Rift Valley na Eastern Provinces

90.4 FM: Meru, Isiolo na Laikipia

88.6 FM: Nyanza, Western na Central Rift Valley

100.8 FM: Mombasa na viunga vyake

87.7 FM: Nyeri na maeneo ya Mlima Kenya pia Mashariki mwa Kenya

104.1 FM: Nakuru na viunga vyake

103.3 FM: Kisii na viunga vyake

90.1 FM: Malindi na viunga vyake

9

3.3 FM: Kapenguria, Kacheliba, Kitale, Eldoret, Kabarnet na Marakwet

104.5 FM: Magharibi na Nyanza hadi Mashariki mwa Uganda


96.9 FM: Voi, Taveta, Wundanyi, Loitokitok, Mtito Andei, Machinery, Kibwezi na Kilifi,

89.9 FM: Namanga na Kaskazini mwa Tanzania

88.6 FM: Lodwar na viunga vyake

89.3 FM: Lokichoggio na viunga vyake


93.1 FM: Garsen, Hola, Witu, Mpeketoni, Lamu, Manda Island, Mokowe, Faza island Gongoni

92.9 FM: Naivasha, Mai Mahiu, Suswa, Mau Narok, Gilgil na Ol kalou


Pia tuko kwenye Satellite:


A. NSS 12- 57ₒE

* Frequency-11.026GHZ
* Symbol Rate - 9690
* FEC-3/4



DVBS

Horizontal

2. 1S1O-68.5ₒE

* Frequency-3964GHZ
* Symbol Rate-7415
* FEC-3/5



DVBS 2

Vertical

B.Entelsat (DSTV)

( Scrambled)


W7-36ₒ E

* Frequency 11766GHZ
* Symbol Rate -27500
* FEC -3/4

04/08/2026

CS Murkomen- Village elders wanafanya kazi kadhaa ikiwemo intelligence in the community

Maeneo Mengi kaunti ya Nairobi Kutarajia Mawingu Yatakayopisha Vipindi vya Jua siku ya Jumatano.Zone 1: Wakazi wa eneo l...
04/08/2026

Maeneo Mengi kaunti ya Nairobi Kutarajia Mawingu Yatakayopisha Vipindi vya Jua siku ya Jumatano.

Zone 1: Wakazi wa eneo la Mathare, Kasarani, Ruaraka, Roysambu, Kamukunji, Makadara, Starehe, Embakasi Magharibi, Embakasi Kati, Embakasi Mashariki, Embakasi Kusini, Embakasi Kaskazini na Lang'ata wanatarajiwa kushuhudia hali ya anga yenye mawingu yatakayopisha vipindi vya jua siku ya Jumatano, Agosti 5.

Halijoto siku ya Jumatano itakuwa ya nyuzi 18°C asubuhi na kuongezeka hadi nyuzi 25°C mchana.

Mamlaka ya utabiri wa Hali ya Hewa nchini imesema kutakuwa na upepo mwanana siku nzima na hakuna hatari zozote zinazohusiana na mvua zinazotarajiwa.

ZONE 2: Kwa wakazi wa Westlands, Dagoretti Kusini, Dagoretti Kaskazini, Kibra na Lang'ata, usiku wa leo Jumanne kutashuhudiwa hali ya mawingu kiasi kabla ya mawingu kupisha vipindi vya jua kuanzia asubuhi hadi alasiri ya Jumatano.

Halijoto inatarajiwa kuwa ya nyuzi 14°C usiku wa leo, nyuzi 18°C asubuhi na kufikia nyuzi 23°C kesho Jumatano mchana.

Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa imeeleza kuwa kutakuwepo na upepo mwanana katika maeneo hayo.

Hakuna hatari yoyote inayohusiana na mvua inayotarajiwa, hali inayomaanisha siku itakuwa tulivu kwa shughuli mbalimbali za wananchi wa Kaunti ya Nairobi.

^FN

04/08/2026

Governor Glady's Wanga via Tiktok.

^FN

04/08/2026

Jaji Mkuu Martha Koome leo ameongoza uzinduzi wa mfumo mbadala wa kutatua migogoro katika kaunti ya Kisii, lengo likiwa kupanua ufikiaji wa haki. Alizindua pia kituo cha kufanikisha mfumo huo pamoja na vituo vya usajili wa mfumo huo katika mahakama za mjini Kisii, Ogembo na Etago ambapo sasa wakazi....

04/08/2026

Mke wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, Winnie Byanyima, ameelezea kwamba mume wake yuko katika hali hafifu hawezi kuzungumza. Besigye wa umri wa miaka 70, ambaye ni mpinzani wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni, amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi jijini Kampala baada ya...

04/08/2026

Tume ya Utumishi wa Umma, PSC imeanzisha mchakato wa kupitia upya Sera ya Mpango wa Mafunzo kwa Vitendo kwa Wahitimu katika Utumishi wa Umma, PSIP. Lengo kuu la hatua hiyo ni kuwajumuisha wahitimu wa mipango ya mafunzo ya stashahada yaani Diploma na wale wa taasisi za Elimu na Mafunzo ya Ufundi na A...

04/08/2026

Ni afueni kwa mbunge wa Mukurweini John Kaguchia baada ya kuachiliwa huru na mahakama kwa shilingi 250,000 pesa taslimu au dhamana ya shilingi milioni moja. Mbunge huyo alibusu raha ya uhuru leo Jumatano alasiri wakati akisubiri kusomewa mashtaka hiyo kesho. Awali, kulikuwa na ngonja ngoja nyingi ma...

04/08/2026

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehimiza jamii yake ya Banyankole kurahisisha masharti ya ndoa. Kiongozi huyo anasema jamii hiyo inastahili kuacha kudai mahari ya kiwango cha juu na kufanya sherehe za harusi za gharama kubwa, akionya kuwa kugeuza ndoa kuwa biashara kunawakatisha tamaa vijana....

04/08/2026

Village elders across the country will receive Sh3,000 monthly stipend starting today, President Ruto announces.

Address

P. O. Box 30456 Harry Thuku Road
Nairobi
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KBC Radio Taifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KBC Radio Taifa:

Shortcuts

Share