KBC Radio Taifa, Sauti Ya Mkenya

KBC Radio Taifa, Sauti Ya Mkenya Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Intelsat

(Free to air)


1.
(683)

Sikiliza KBC Radio Taifa:

92.9 FM: Nairobi na viunga vyake, Central, South Rift Valley na Eastern Provinces

90.4 FM: Meru, Isiolo na Laikipia

88.6 FM: Nyanza, Western na Central Rift Valley

100.8 FM: Mombasa na viunga vyake

87.7 FM: Nyeri na maeneo ya Mlima Kenya pia Mashariki mwa Kenya

104.1 FM: Nakuru na viunga vyake

103.3 FM: Kisii na viunga vyake

90.1 FM: Malindi na viunga vyake

9

3.3 FM: Kapenguria, Kacheliba, Kitale, Eldoret, Kabarnet na Marakwet

104.5 FM: Magharibi na Nyanza hadi Mashariki mwa Uganda


96.9 FM: Voi, Taveta, Wundanyi, Loitokitok, Mtito Andei, Machinery, Kibwezi na Kilifi,

89.9 FM: Namanga na Kaskazini mwa Tanzania

88.6 FM: Lodwar na viunga vyake

89.3 FM: Lokichoggio na viunga vyake


93.1 FM: Garsen, Hola, Witu, Mpeketoni, Lamu, Manda Island, Mokowe, Faza island Gongoni

92.9 FM: Naivasha, Mai Mahiu, Suswa, Mau Narok, Gilgil na Ol kalou


Pia tuko kwenye Satellite:


A. NSS 12- 57ₒE

* Frequency-11.026GHZ
* Symbol Rate - 9690
* FEC-3/4



DVBS

Horizontal

2. 1S1O-68.5ₒE

* Frequency-3964GHZ
* Symbol Rate-7415
* FEC-3/5



DVBS 2

Vertical

B.Entelsat (DSTV)

( Scrambled)


W7-36ₒ E

* Frequency 11766GHZ
* Symbol Rate -27500
* FEC -3/4

28/09/2025

Mwamba wa Baraka, Jumapili ya mwisho mwezi Septemba....unatupata ukiwa wapi?

27/09/2025

Yaaani Karatasi Inaitwa ID ni Kitu ya Kunyima Mtu, Kipande sini Karatasi tu - Sen. Aaron Cheruiyot

Toa maoni yako....
^FN

27/09/2025

Ile Barabara Kuu ya Kilomita 750 ambayo itakuwa Barabara Ndefu zaidi kuwahi kujengwa tangu Tupate Uhuru itagharimu serikali Bilioni 100. (100B) - DP Kithure Kindiki

27/09/2025

Usilete maneno ambayo hayana Ukweli. " DP Kindiki takes a swipe at Uhuru Kenyatta over Linda Mama Program.

"From Linda mama to Linda Jamii "

27/09/2025

Rais William Ruto ameondoa Utaratibu ambao ulikuwa unazuia Wananchi wa Kaskazini Mashariki na wananchi Waislamu kupata Vitambulisho vya Taifa - DP Kothure Kindiki

^FN

FT : Nairobi United imefuzu kwa awamu ya pili Katika mechi za CAF CONFEDERATIONS CUP baada ya Kutoka Droo ya 1-1 na NEC ...
27/09/2025

FT : Nairobi United imefuzu kwa awamu ya pili Katika mechi za CAF CONFEDERATIONS CUP baada ya Kutoka Droo ya 1-1 na NEC ya Uganda

Nairobi United 1-1 NEC

^FN

Goall!! Nairobi United imesawazisha Nairobi United 1-1 NEC
27/09/2025

Goall!! Nairobi United imesawazisha

Nairobi United 1-1 NEC

27/09/2025

Mashabiki wa Nairobi United katika Ubora wao kuishangilia Timu yao ambayo tayari imepurwa bao 1-0

27/09/2025

CAF CONFEDERATIONS CUP :

NYAYO 🏟

NEC 1-0 NAIROBI UNITED FC

Kwa Majina ni Iyaniiii!! Mwanamuziki Iyaniiii akitumbuiza katika Uwanja wa Nyayo ambako mechi ya CAF ya kati ya Nairobi ...
27/09/2025

Kwa Majina ni Iyaniiii!!

Mwanamuziki Iyaniiii akitumbuiza katika Uwanja wa Nyayo ambako mechi ya CAF ya kati ya Nairobi United na NEC ya Uganda Inaendelea!!

NEC inaongoza kwa bao 1-0

HT : CAF CONFEDERATIONS CUP Nairobi United 0-1 NEC ya Uganda   ^FN
27/09/2025

HT : CAF CONFEDERATIONS CUP

Nairobi United 0-1 NEC ya Uganda

^FN

Address

P. O. Box 30456 Harry Thuku Road
Nairobi
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KBC Radio Taifa, Sauti Ya Mkenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KBC Radio Taifa, Sauti Ya Mkenya:

Featured

Share