TUKIO

TUKIO 👌KWA UMBEA /TAARIFA /ENTERTAINMENT 🤦‍♂️😂 ONLY
Plus+ NEW FUNNY POST🤣 & STORIES💖
(1)

Community/ Family fair is a production company.... based on in Zanzibar/Mombasa urban west

17/06/2026

FAMILY ISSUES wueeee🙄🖐️.

Tarching movie 💔 story ❣️Link 🔗kwa comments
30/05/2026

Tarching movie 💔 story ❣️
Link 🔗kwa comments

29/04/2026
Rubani aliambiwa abebe wagonjwa wa akili (wenda wazimu) kutoka Kenya🇰🇪 kwenda Marekani 🇺🇸. Alikubali na kuwapakia ndani ...
12/04/2026

Rubani aliambiwa abebe wagonjwa wa akili (wenda wazimu) kutoka Kenya🇰🇪 kwenda Marekani 🇺🇸. Alikubali na kuwapakia ndani ya ndege yake 🙂. Kila mahali kulikuwa na kelele nyingi.

Baadaye, mmoja wa wagonjwa wa akili alimkaribia rubani na kumwambia: “Tafadhali nifundishe jinsi ya kuendesha ndege?”

Rubani akamjibu: “Nitakufundisha kuendesha ndege ikiwa utawaambia marafiki zako wawache kelele.” 😒
Yule mtu aliye na shida ya akili aliingia ndani. Baada ya dakika chache, kila mahali kukawa kimya k**a malaika aliingia ndani ya ndege. 😌

Baada ya muda, yule mtu alirudi na kumwambia rubani kwamba sasa kila mahali ni shwari. Rubani alifurahi na kumuuliza: “Uliwaambia nini ili watulie?”
Yule mtu aliye na shida ya akili akajibu: “Nilifungua mlango ili waende kucheza nje.”
Rubani alizimia! 🤣🤣🤣😂

President has hired a Ninja from Japan to protect him
10/04/2026

President has hired a Ninja from Japan to protect him

Hope hii si AI
07/04/2026

Hope hii si AI

Wanandoa hawa ndiyo wanaozungumziwa zaidi kuliko wengine nchini Rwanda.
07/04/2026

Wanandoa hawa ndiyo wanaozungumziwa zaidi kuliko wengine nchini Rwanda.

Kenya 🇰🇪 is considering deploying the Kenya Defence Forces Navy to es**rt export ships to the Middle East. Rising region...
25/03/2026

Kenya 🇰🇪 is considering deploying the Kenya Defence Forces Navy to es**rt export ships to the Middle East.

Rising regional tensions have reportedly trapped over 600 vessels linked to the country, raising concerns about supply shortages and exporter losses.

Industry Principal Secretary Juma Mukhwana said in a TV interview that the government is evaluating military-backed protection, including es**rted convoys through high-risk waters.

How to remove this!
25/03/2026

How to remove this!

Address

Kenya
Stone Town
WESTERN

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TUKIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TUKIO:

Shortcuts

Share