14/04/2026
Former DP Rigathi Gachagua: I have seen Gladys Wanga now is crying. I warned you William Ruto atamaliza ODM. Uko Mombasa anatengeneza chama apatie Joho, ODM ikwishe pwani. Oparanya atajiuzulu hivi karibuni na atapewa chama ya Western. Ruto anataka ODM ikuwe chama ya Wajaluo.