LADHA YA MTAA Entertainment

LADHA YA MTAA Entertainment let us keep you inspired, informed, and entertained!

Welcome to LADHAYAMTAA ENTERTAINMENT official page,the powerhouse and owners behind some of Kenya’s biggest and most celebrated brands, including TT Comedian, GK Serkal, Mjukuu254, and more. Welcome to LADHA YA MTAA ENTERTAINMENT official page
LADHA YA MTAA ENTERTAINMENT is a production company initially was known as GHETTO COLLEGE ENTERTAINMENT. Our areas of specialty include movie production (

field shooting and actual production) and music production which sees to support upcoming talents in the diaspora who do not have access to the necessary exposure. We seek to change the perception on the Kenyan movie industry under the motive that we as a country we can produce our own from our own artists and enter in competitive movie industries in the likes of Hollywood and Nollywood internationally.

05/08/2026

Hapa usione watu wametulia, we niulize mimi nikuambie list ya mabibi walioingia na kutoka humu ndani! πŸ”₯ Kupita mtihani wa hili boma inahitaji masters, walai! Wengine walishindwa mapema sana. πŸ˜‚

04/08/2026

Kuku ya mwalimu ya kienyeji

Gifting 1000 shillings kwa mwenye anajua hawa wasaniiπŸ™ƒlets Go!!
04/08/2026

Gifting 1000 shillings kwa mwenye anajua hawa wasaniiπŸ™ƒ
lets Go!!

04/08/2026

"Sijaolewa na baba yako!" πŸ’₯ Weuh! Hapa sasa ndio kimeumana kabisa! Mke amechoka kuvumilia, akaamua kumwambia bwana yake ukweli live bila kupepesa macho. Ukiona mke amefikia hatua ya kujibu hivi mbele ya wakwe, jua maji yamezidi unga! πŸ₯΅ Sijui hii ndoa itatoboa kweli baada ya hii kauli? πŸ‘‡πŸ½πŸ‘€

03/08/2026

Mambo hadharani! πŸ”₯ "Nimechoka na familia yako... hawanipendi!" 😀 Hapa sasa ndio ile hatua mke anafikishwa mwisho na anaamua kutoa yote ya moyoni bila kuficha. Kazi ipo kwa bwana hapa atetea boma ama atatetea familia yake? πŸ₯΅ Nani ashaona ndoa ikifika hapa chemba? πŸ‘‡πŸ½πŸ‘€

02/08/2026

Shule

02/08/2026

Kimeumana kabisa! πŸ’₯ Ukiona mke wa blaza amesimama kidete na kuamua kukinukisha, jua maji yamezidi unga! Walizoea kumpanda kichwani wakidhani ni mpole, sasa wamekutana na dhoruba yenyewe live bila chenga! πŸ˜‚ Hapa hakuna cha wifi wala shemeji, kila mtu anapewa dozi yake! 🀣 Je, hii ndio njia ya mwisho ya kumaliza fitina za boma? πŸ‘‡πŸ½πŸ‘€

01/08/2026

huyu ndio alikula fare

πŸ’” ALIFICHA MACHOZI YAKE, LAKINI MOYO WAKE ULIPAZA SAUTI... 😒Kila mtu alimwona akitabasamu, lakini hakuna aliyejua alikuw...
01/08/2026

πŸ’” ALIFICHA MACHOZI YAKE, LAKINI MOYO WAKE ULIPAZA SAUTI... 😒

Kila mtu alimwona akitabasamu, lakini hakuna aliyejua alikuwa akibeba maumivu makubwa moyoni. πŸ’” Alikuwa akipigania familia yake kimya kimya, akiomba kila usiku watoto wake wapate maisha bora kuliko yake. Wakati wengine walimhukumu bila kujua story yake, yeye aliendelea kusimama imara. πŸ™

Siku moja alisema, "Maisha yamenichosha, lakini sitaruhusu changamoto zinivunje." Hapo ndipo aligundua kuwa machozi si mwisho wa safari, bali mwanzo wa nguvu mpya. ❀️

Ukiona mtu ametulia, usidhani hana vita. Be kind. Endelea kupambana. Mungu huandika mwisho mzuri kwa wale wasiokata tamaa. πŸŒ…βœ¨πŸ€

01/08/2026

Kuwa kijana wa pekee kwenye familia sio mchezo, mzigo ni mzito! πŸ₯΅ Yaani dada zako wote wanakaa chonjo wakingoja kuona ni mke wa aina gani utawaletea kila mtu ana β€˜vigezo na masharti’ yake kichwani! πŸ˜‚ Hapo sasa kijana inabidi uombe Mungu upate mtu atakayeziweza hizi kambi zote, la sivyo boma litawaka moto! πŸ”₯ Nani mwingine amepitia hii presha ya kijana wa pekee? πŸ‘‡πŸ½πŸ€¦β€β™€οΈ

Address

00600
Nairobi
33913

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LADHA YA MTAA Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category