20/01/2025
So Baada ya kutafuta nyumba Kwa muda mrefu 🤔Jana niliangukia Moja smart😌💯ushawahi ingia nyumba Hadi ukiitishwa rent ya 50k inabidi umetoa tu?💪😂yaani nyumba niliingia, kale kajoto kalikuwa ndani kakafanya nitamani kukaa ndani tu😢ukuta za hiyo nyumba zilikuwa very smooth, kitchen ilikuwa safi, 😌💯mwenyewe akaniambia nikitaka naeza tumia clitocurrency.. ama nikitaka naeza lipa next month kwanza niitest.😌 Hiyo nyumba kusema ukweli ilikuwa well mentained, na ningehamia huko ni vile Iko Kwa msitu, na hakuna stima, huko ni giza tupu.😢 Sijui mbona inakuanga ngumu kupata keja safi😢 yaani lazima kukuwe na kashida😢😂sikutaka caretaker ajue Sina interest nayo, so nilimwambia hiyo keja Iko fine na nitarudi niingie ndani tena,,,😂nikichoka Sasa nitaachia caretaker za macho alafu nirudi nitulie kwangu.
Another thing, nyumba kubwa huonekana Kwa umbali, na wezi wanaeza kuja kukuibia😢tafuta kanyumba simple and precice, kenye budget Iko low, rent ka ya Thao ivo, hata k**a ni ka mabati, 😌utaupgrade pole pole. Nyumba kubwa hata kuoshwa saa zingine haioshangwi vizuri, juu ni kubwa, na maji hupotea. 😂 Kadogo hata unaeza panguza na kakuwe best,😂😂💪😌 kadogo tena hata ukikaa ndani wiki Moja bila kuosha, katakuwa tu sawa.k**a unaona naongelea nyumba potelea mbali😆 Dem ako na haga ni Mali ya umma😂😂