Babz Edutainment Show

Babz Edutainment Show Your Number One Entertainment Channel

Makalio tu, Yazidi kumpea Njoki Murira donge nono na umaharufu.
19/06/2024

Makalio tu, Yazidi kumpea Njoki Murira donge nono na umaharufu.

Vuuka fm presenter.
10/06/2024

Vuuka fm presenter.

Mzungu aduwazwa na Njoki Murira kule Dubai. Sijui k**a aliitisha mawasiliano kutoka kwa mtoto huyo wa Kikenya.
09/06/2024

Mzungu aduwazwa na Njoki Murira kule Dubai. Sijui k**a aliitisha mawasiliano kutoka kwa mtoto huyo wa Kikenya.

DONDOO: Akothee hacheki na maswali ya kipuzi. Hili lilibainika baada ya kumjibu "Myinga" aliyetaka kumdhalalisha. Hivi n...
06/06/2024

DONDOO:
Akothee hacheki na maswali ya kipuzi. Hili lilibainika baada ya kumjibu "Myinga" aliyetaka kumdhalalisha. Hivi ni ndivi alivyo ulizwa, " Ni wanaume wangapi ambao umeshiriki nao, iwapo naweza uliza?" Jibu la Akothee, " Wacha mamako akujibu kwanza."

Kutana na mfalme wa injili, Israel Mbonyi.
03/06/2024

Kutana na mfalme wa injili, Israel Mbonyi.

Kutana simba mwenyewe, Diamond Platnumz.
03/06/2024

Kutana simba mwenyewe, Diamond Platnumz.

Picha za zamani mbili za Njoki Murira na za sasa mbili.
03/06/2024

Picha za zamani mbili za Njoki Murira na za sasa mbili.

DONDOO:Mkaka aliye dhalalisha polisi wa trafiki kwa kumpiga,- Aguzwa nyeti.Mkaka huyo alipaza sauti kwa kusema, " mimi n...
03/06/2024

DONDOO:
Mkaka aliye dhalalisha polisi wa trafiki kwa kumpiga,- Aguzwa nyeti.
Mkaka huyo alipaza sauti kwa kusema, " mimi ni wazimu sana!!" Baada ya kuguzwa nyeti na kuambiwa aseme kuwa alikuwa wazimu.

Kutana na msomaji mahiri wa habari kwenye runinga ya Citizen, Mrembo Yvonne Okwara.
03/06/2024

Kutana na msomaji mahiri wa habari kwenye runinga ya Citizen, Mrembo Yvonne Okwara.

Kutana na warembo wa Afrika. Je' Wajua chimbuko lao?
02/06/2024

Kutana na warembo wa Afrika. Je' Wajua chimbuko lao?

Kutana na msanii wa k**e Kajala Masanja kutoka Tanzania.
02/06/2024

Kutana na msanii wa k**e Kajala Masanja kutoka Tanzania.

Millicent Omanga
02/06/2024

Millicent Omanga

Amelia
02/06/2024

Amelia

Mrisha Mpoto, Msanii wa mashairi Tanzania.
02/06/2024

Mrisha Mpoto, Msanii wa mashairi Tanzania.

Hustler wa kweli akutana na Rais William Ruto.
02/06/2024

Hustler wa kweli akutana na Rais William Ruto.

Kutana na Brenda Ngeso, Ambaye ni mwigizaji kwenye kipindi cha Becky kwenye runinga ya Citizen. Maisha yake halisi ameza...
02/06/2024

Kutana na Brenda Ngeso, Ambaye ni mwigizaji kwenye kipindi cha Becky kwenye runinga ya Citizen.

Maisha yake halisi amezaliwa Kibra mwaka wa 1990 na kusomea huko.

Chimbuko lake ni Kisumu.

Taaluma yake ni Polisi wa Kenya.

Toto La Mama, Ann Njogu.
02/06/2024

Toto La Mama, Ann Njogu.

DONDOO:Mdada akatiza harusi na kutoka mbio baada ya kugundua kuwa bwana harusi hafanyi kazi kwa Kenya Power ila ni mwend...
02/06/2024

DONDOO:
Mdada akatiza harusi na kutoka mbio baada ya kugundua kuwa bwana harusi hafanyi kazi kwa Kenya Power ila ni mwendeshaji wa bodaboda.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Babz Edutainment Show posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share