Cheza bango

Cheza bango Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cheza bango, Record Label, Nairobi.

Rafiki mwema ni yule anaye kkupokea na kkkaribisha vizuri
03/10/2020

Rafiki mwema ni yule anaye kkupokea na kkkaribisha vizuri

RIZIKI NI KWA KILA MTU,APEANAYE NI MOLA MWENYEWE NGUVU ZA GIZA ZITA SHINDWA
21/03/2020

RIZIKI NI KWA KILA MTU,APEANAYE NI MOLA MWENYEWE NGUVU ZA GIZA ZITA SHINDWA

Wana bango hawakukosea na kusema,wewe ndiyo ua langu kwahivyo kukiwaka moto lazima kunyeshe mvua na hakuna atakaye wacha...
08/02/2019

Wana bango hawakukosea na kusema,wewe ndiyo ua langu kwahivyo kukiwaka moto lazima kunyeshe mvua na hakuna atakaye wacha mwenzie juu ya mvua,acha tutote nayo jamani k**a wapenda nyimbo za bango basi weka mkono juu

Unapo tafuta mke wa kkustiri kimaisha inapaswa uwe mwangalifu maana kuna wengine siwo,kwa mengi zaidi tafuta wimbo rhumb...
03/02/2019

Unapo tafuta mke wa kkustiri kimaisha inapaswa uwe mwangalifu maana kuna wengine siwo,kwa mengi zaidi tafuta wimbo rhumba ama bango unaoitwa kungunguru havugiki upate uhondo wa kusizimua,bango hoyeee

Mshike mkono umpendaye mkumbatie alafu mpusu shavuni maana ni kweli wampenda zivungue hisia zako kwake maana  mapenzi um...
24/12/2018

Mshike mkono umpendaye mkumbatie alafu mpusu shavuni maana ni kweli wampenda zivungue hisia zako kwake maana mapenzi umpendaye kwake niya dhati,

12/09/2018

k**a kawa sanne hadi sanane bango kuruka

05/09/2018

Eti maisha ya ndoa yana panda na kushuka, nyie vijana wenye hamja pata jiko unapo tafuta mwenye kustiri moyo wako usiangalie urembo wala umri, fata jaguo la moyo wako ujiepushe na hao kunguru maana kunguru havugiki hata umpe nini ataondoka tu

Kwa sasa leo sisi twaimba twafuhia,leo ni cku na cku ile ulo saliwa kuanza maisha,mwenyezi mungu akujalie maisha mema ki...
13/07/2018

Kwa sasa leo sisi twaimba twafuhia,leo ni cku na cku ile ulo saliwa kuanza maisha,mwenyezi mungu akujalie maisha mema kila uendapo,hebu simama tucheze bango na wana kaya tufirahie, happy birthday to you,happy birthday,

Zegede zegede,cheza cheza  hapo hapo,yani miskato ya bango imeshika mbaya
05/06/2018

Zegede zegede,cheza cheza hapo hapo,yani miskato ya bango imeshika mbaya

Unaambiwa kunguru havugiki,nyumbani wamuekea nini,afadhali njiwa,kuku ama tausi kwa usalama wa nyumbani kwako,k**a wewe ...
05/06/2018

Unaambiwa kunguru havugiki,nyumbani wamuekea nini,afadhali njiwa,kuku ama tausi kwa usalama wa nyumbani kwako,k**a wewe ni mwana bango tegea 93.1fm kwa misakato ya bango

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cheza bango posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category