30/06/2025
Boniface mwangi Kariuki
Muuzaji Wa Barakoa aliyepigwa Risasi Kichwani Na polisi wakati wa maandamano ya Gen z tarehe 17 juni amefariki dunia katika hosipitali ya kitaifa ya kenyatta ( KNH) familia yake imethibitisha