AYANA

AYANA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AYANA, Digital creator, Nairobi.
(1)

02/11/2025

Isaac Mong'are

Ambia Beka neno moja πŸ†’
08/10/2025

Ambia Beka neno moja πŸ†’

π€π˜π€ππ€ πŸ”π“π‡ πŽπ‚π“ π…πˆπ‘π’π“ π„ππˆπ’πŽπƒπ„ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 Ndio kuanza wakuu najua hizi hata hazitafika 500 likes πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²ππ€π‘𝐓 𝟏 Hii episode...
07/10/2025

π€π˜π€ππ€ πŸ”π“π‡ πŽπ‚π“ π…πˆπ‘π’π“ π„ππˆπ’πŽπƒπ„ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Ndio kuanza wakuu najua hizi hata hazitafika 500 likes πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Hii episode ya kwanza hata sijui majina za characters πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunampata Wairimu,an upcoming tiktoker kanapiga selfie akiwa kwa beach,lakini punde si punde, kumbe pale kwa beach kuna jamaa alikua anazama ikabidi wale vijana wa beach watoke mbio kumuokoa..maskini wa Mungu. Brenda Wairimu anashindwa kunaendaje hapa,lakini mwenye ameokolewa,kuokolewa ameokolewa ndio lakini ile maji alikunywa,na kulingana na hio muda alikua kwa maji,it was too late.

Tufike kwa soko,kuna madhe mama mboga sasa,anauza vitu za nyumbani hapo,kuna nyanya,kuna ndimu,vitunguu na hata samaki,yani ni madhe mwanabiashara,anauza uza mboga hapa. Kuna pesa alikua anahesabu hapo lakini kumbe huku Kongowea wezi wamejaa,mbaya mbovu,madhe akiendelea kuhesabu pesa,alishtukia nini....pesa zimeenda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚alipiga nduru but akakumbuka Geofrey Mosiria atamkuta ilibidi anyamaze tu.

Huko ni sokoni,turudi kwa beach tena,kuna jamaa anaitwa Beka na Beka huwa na mpenzi,anaitwa Nura,kumbe Nura,alishuku Beka anadate na Aisha,lakini kumuuliza Beka akamwambia walai bilai mimi nakupenda tu wewe, Aisha ndio amebeba sikatai lakini wewe mrembo sana kumliko na siezi mdate Aisha mimi,wewe ndio wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nura anakaa anaona aaai,uko sure wewe utaacha Aisha uende na mimi na venye Aisha amebeba,but Beka ni wanaume wazuri sana,alimwambia Nura,nakupenda wewe na napenda wewe peke yako.

Mida ya jioni, Brenda amerudi nyumbani kwao anamwambia venye kwa beach kuna jamaa alizama kwa maji. Mamake alimwambia sikiza wee msichana,usinikule kichwa,unaenda baharini na mimi huku naenda sokoni kuibiwa pesa πŸ˜‚πŸ˜‚kumbe Brenda na Mama Mboga ni mama na mtoto na niwashtue tu,huyu huyu Brenda ndio Aisha mwenye Nura anahofia sana Beka anamtaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa penye nimeeka Brenda toa uweke Aisha.

Moja kwa moja hadi hosipitali,Mwambili. Kuna jamaa anafanyiwa surgery,.makasi na visu ndio zinafanya tu ka

Umewatch AYANA ya leo
06/10/2025

Umewatch AYANA ya leo

K**a unamtambua weka tick βœ…πŸ₯° Culture productions
05/10/2025

K**a unamtambua weka tick βœ…πŸ₯°
Culture productions

AYANA CITIZEN TV FROM 6TH OCTOBER  OFFICIAL TRAILER IN WRITTENHii ndio trailer Ya kipindi cha AYANA. Hapa nitatumia maji...
05/10/2025

AYANA CITIZEN TV FROM 6TH OCTOBER

OFFICIAL TRAILER IN WRITTEN

Hii ndio trailer Ya kipindi cha AYANA. Hapa nitatumia majina Yale mnajua sababu bado majina ya waigizaji watakaotumia hayajatolewa.

Tunaanzia Kule pwani, vijana wako kazi Na hapo ndio Beka Ruga anafanya kazi. Anaingia baharini kutafuta riziki. Kisha baadae anaondoka k**a amepata chakula na ni wakati anarudi nyumbani. Hapa tushajua Beka ni Kijana anajaribu kuitafutia kwa jasho lake, hana uvivu.

Brenda Wairimu amekaa hapo, kisha anasema wakati ni sasa, kumaanisha amekuwa akingoja kufanya jambo na hatimaye wakati umefika. Brenda wakiwa na Susan (jina alilotumia huko kwa ZARI) wanaondoka Kule kijijini na kuingia jiji kuu la Nairobi. Wamekuja purposely kukutana na mzee mzima Denis Musyoki (William Hausa).

Ila wakiwa kwa njia wanakutana na Alice Mbeyu (Zalena kwa ZORA), Na kuna venye hajawaangalia Poa. Brenda wanaingia kwa ofisi Ya Denis na kuna mtu anaambia Denis kuwa hawa kitu wanataka ni ukweli tu, kwani kuna nini, hapa mambo ya Mali lazima iko ndani.

Tunamkuta Perpetual (Risper kwa ZARI) analia Sana kwa room yake, Huyu ni k**a Mapenzi imemgongesha ukuta sasa ni Kilio tu. Hajui dust ni constant.

Baadae tunamwona Alice Mbeyu akiwa amejam vibaya sana mpaka anapasua tule tunyungu twa maua, hapa ni k**a kuna ukweli ameambiwa Na anaumwa Sana. Hasira miingi Sana lakini hapa ni k**a amejua mzee wake ako na mke wa pili.

hii ndio part ya TRAILER Narudi. Hakikisha umeshare hii post ukimaliza kusoma.
Thanks, let's make it 20 followers πŸ’ͺβœ…
AYANA

AYANA CITIZEN TV FROM 6TH OCTOBER  OFFICIAL TRAILER IN WRITTENHii ndio trailer Ya kipindi cha AYANA. Hapa nitatumia maji...
04/10/2025

AYANA CITIZEN TV FROM 6TH OCTOBER

OFFICIAL TRAILER IN WRITTEN

Hii ndio trailer Ya kipindi cha AYANA. Hapa nitatumia majina Yale mnajua sababu bado majina ya waigizaji watakaotumia hayajatolewa.

Tunaanzia Kule pwani, vijana wako kazi Na hapo ndio Beka Ruga anafanya kazi. Anaingia baharini kutafuta riziki. Kisha baadae anaondoka k**a amepata chakula na ni wakati anarudi nyumbani. Hapa tushajua Beka ni Kijana anajaribu kuitafutia kwa jasho lake, hana uvivu.

Brenda Wairimu amekaa hapo, kisha anasema wakati ni sasa, kumaanisha amekuwa akingoja kufanya jambo na hatimaye wakati umefika. Brenda wakiwa na Susan (jina alilotumia huko kwa ZARI) wanaondoka Kule kijijini na kuingia jiji kuu la Nairobi. Wamekuja purposely kukutana na mzee mzima Denis Musyoki (William Hausa).

Ila wakiwa kwa njia wanakutana na Alice Mbeyu (Zalena kwa ZORA), Na kuna venye hajawaangalia Poa. Brenda wanaingia kwa ofisi Ya Denis na kuna mtu anaambia Denis kuwa hawa kitu wanataka ni ukweli tu, kwani kuna nini, hapa mambo ya Mali lazima iko ndani.

Tunamkuta Perpetual (Risper kwa ZARI) analia Sana kwa room yake, Huyu ni k**a Mapenzi imemgongesha ukuta sasa ni Kilio tu. Hajui dust ni constant.

Baadae tunamwona Alice Mbeyu akiwa amejam vibaya sana mpaka anapasua tule tunyungu twa maua, hapa ni k**a kuna ukweli ameambiwa Na anaumwa Sana. Hasira miingi Sana lakini hapa ni k**a amejua mzee wake ako na mke wa pili.

hii ndio part ya TRAILER Narudi. Hakikisha umeshare hii post ukimaliza kusoma.
Thanks, let's make it 1 follower

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AYANA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share