Cheki ondokea

Cheki ondokea Trust in the Most high... it shall be well💪🏽🤝🔥

(facebook having issues)me restarting my phone for the 5th time..😆
12/06/2026

(facebook having issues)
me restarting my phone for the 5th time..😆

cashier:change yako ni 2 bob..me:
22/05/2026

cashier:change yako ni 2 bob..
me:

Na mjue hii generation punch haikuwangi mcheso, hii kitu ni painful bana😳🫢😂Imenikumbusha pale praiamare siku ya kufunga,...
05/04/2026

Na mjue hii generation punch haikuwangi mcheso, hii kitu ni painful bana😳🫢😂
Imenikumbusha pale praiamare siku ya kufunga, ugomvi yote ya full term ilikuwa inaisha hiyo siku..
Sasa si hiyo siku ikafika, masaa ilipofika tukaingia kwa ring yenye ilikuwa made of human bodies , opponent yangu ilikuwa inaitwa batista juu ya venye ilikuwa inawafanyia 🫢..
Vita ikaanza, nikarusha my 360° ngumi packed with ile lunch yote nilikuwa nimedishi, surprisingly, kijana ikaidodge 😳🫢😂,unajua hata chance ya kuirudisha fit position sikupata, niliskia nikiwa nimeiniliyo na spear namna hii k**a roman reins, kijana ikaniweka chini, ikanikalia na hii wanaita 69😳
Mikono ya me imeshikwa na miguu yake alafu inaniwekelea haga kwa kifua,, yaani singefanya kitu😂🫢💔, sasa ikaanza kiniwekelea mangumi za family carrier k**a kumi hivi😭💔,
Ilibidi nianze kutoa mate k**a povu ndivo inihurumie, lakini waapi, nilibahatika tu ati kaschana yangu kaliona tutaharibiwa familia, kakakimbia staffroom kakaita walimu, hao ndio walinokolea na karibu pia wao wapigwe 😂💔.
Hapo nilitolewa na mkokoteni ya Mzee wa kijiji🫢, sikuwa naweza kutembea bana,, weee hii kitu ni painful bana i feel for mbavu🫢😂💔🤦🏽

02/04/2026

unbelievable moments in sports���what was he thinking..


Na mnajua hawa viongozi wametusoea , yaani wameamua hakuna kufanya kazi, kazi yenye wanaweza ni ya kuinfluence mitandao ...
31/03/2026

Na mnajua hawa viongozi wametusoea , yaani wameamua hakuna kufanya kazi, kazi yenye wanaweza ni ya kuinfluence mitandao wakichongoana vile wanakaa😂💔kwanza hadi kiongozi wao😂💔
‎
‎Sasa nilikuwa naonelea date 4 april after mbavu zimeendwa nazo ama after the first maajabu ya jembe kulima mawe..
‎Hawa majamaa wawili, hii ya murima, na hii ya sugoi,,.. Waingie pale kwa ring na yao kwanza iwekwe cage na kusikuee na refarii,na ikiwezekana hata light isikuwe, yaani ikuwe vurugu na kujilipishia ile matusi yote wametusiana😂 at least hii mzozano iishe😂,, hata wakitaka kumalisana wamalisane😂
‎
‎Kama mimi nimechoka bana, redio inaenda kusoma news naigongesha ukuta namna hii naachwa nikiregret....
‎You know, if tumbo ingekuwa job opochyuniti,, tungejituma sana kusafisha hizo intestines😅🤝, k**a maskio ingekuwa barabara,,zingekuwa zimefika mwisho wa dunia,juu zinasemekana ni refu... alafu sasa kuna hii faya si faya😂💔 , hii nayo hatuwezi jilaumu juu sio sisi tulichagua😂💔
‎Nikiondokea namwomba Mungu atusamehe na asituadhibu na viongozi wabaya🤝💔
‎

‎Hii kenya nayo wash wash iko kila place banaa...‎Tumekaa chini na beshte ya me life ikiwa imetupiga 10:0..tunajiuliza k...
30/03/2026

‎Hii kenya nayo wash wash iko kila place banaa...
‎Tumekaa chini na beshte ya me life ikiwa imetupiga 10:0..tunajiuliza kwenye hii pesa itatoka🤦🏽🫢
‎After kutumia akili zetu wawili.. Tuliona opshon mzuri ni kuingia illuminati😂💔..
‎ ndio hao sisi pale kwa search engine fb,, tukasearch "illuminati without human sacrifice"😂💔, si ikatuletea hadi namba😂.
‎
‎Chap chap ile namba tukapiga🫢, simu ikapickiwa na nyang'anya😂, ikatushow kuingia ni free kuregesta ndio iko na fee ya 5000😂💔..na ati kuna kujiuza mwili nusu, like mpaka kwa waist,inakuwa umeuza miguu unabaki na side ya juu😂🫢🤦🏽 Tukaangaliana na morio ya me, juu hatujai shika pesa kaa hio ikiwa pamoja😂💔 tukamuuliza k**a anaweza tufanyia na 2500, yenye hatukuwa nayo😂💔🤦🏽
‎
‎To our surprise akasema ni sawa🫢.. elfu tatu tulikwa tumetumiwa na wazazi ya kukula ndio tulitoa hio 2500..tukauliza tunaregistia wapi, akatwambia tumtumie hio 2500 alafu twende tusimame pale archives atatukujia, tukajua hapa kitu inatutenganisha na utajiri ni kufinya send tu, 😂😂 ole wetu tungelijua🫢,
‎
‎After kutuma ile pesa, jina ilileta 'magarita chepktief'🫢😂, tukashuku lakini tukajipea hopes😂💔, ile nyang'anya ikatupigia ikasema pesa imefika, ikatwambia twende pale archives tuingojee, ile 500 ilibaki ndio tulitumia k**a fare kutoka murang'a😂💔 na kununua maji ya kubangaisha tukingoja utajiri itukujie😂💔.
‎
‎Wueh,, tukakaa pale archives for one hour, tukaona tumpigie tumuulize kwenye amefika😂🤦🏽🫢, simu ya kwanza ikaingia voice mail😂💔, ya pili ikaingia mteja😂😂😂💔, ya tatu hata haikuenda through, ilisema user busy😂🫢.. Nikajua hizi zimekunywa maji walai😂🫢🤦🏽,tukajaribu kutuma meseji atuwekee za fare ya kurudi, hazikuwa zinaenda😂💔..
‎
‎Si tukaamua tusimamishe msee tumuulize k**a anajua mahali illuminati hukuwa karibu na archives, bahati mbaya tukasimamisha mtu ya church😂😂💔, jibu ya kwanza ilikuwa shetani ashindweee katika jina la Yesu, na akatuita maibilisi😂💔, na akaenda mbio namna hatari sana😂💔..
‎Tukakaa masaa zingine mbili hapo tukingoja😂💔,
‎
‎Tulipoona hakuna hopes, tulianza safari ya kurudi Murang'a tukitumia our God given v2 legsus😂💔🤦🏽, hakuna alikuwa anaweza kubongesha mwingine😂💔, maji nayo tulibuy lakini haikuwa inakunywika, kitu ilikuwa inaonja muarobaine😂😂💔.. Tulipitia taabu sana😂😂
‎Mkiskia mjengo si mtuitie bana😂💔
‎Na wewe magarita tutakushika tu😂😅
Na mfollow hapo ivo😄👍🏽🤝
‎

China🤤🤤😍
06/03/2026

China🤤🤤😍

06/03/2026

mental hospitals are full of innocent people ����

😂😂😂😂💔we eat to live😂😂🤝
19/02/2026

😂😂😂😂💔we eat to live😂😂🤝

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cheki ondokea posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share