Studio Twese Twotera Imbere Serie Films Comedi

Studio Twese Twotera Imbere Serie Films Comedi Deal Done Company Money Transfer

30/10/2025

God's Timing 🙏🙏🙏

23/10/2025

Tuliaminiwa Na Wachache Lakini Tukawashangaza Wengi

23/10/2025

Njaa Haizeeki

Jifunze kuwa kiziwi kwa kila neno lenye kukatisha tamaa katika maisha yako.Katika safari ya maisha yako maneno yana nguv...
19/10/2025

Jifunze kuwa kiziwi kwa kila neno lenye kukatisha tamaa katika maisha yako.

Katika safari ya maisha yako maneno yana nguvu kubwa kwakua yanaweza kukujenga au kubomoa au kuinua. Watu wengi hukata tamaa si kwa sababu maisha ni magumu sana bali kwa sababu wamechagua kusikiliza sauti zisizo sahihi. Kila siku kuna watu watakaohoji uwezo wako watakaodharau ndoto zako au kukukumbusha makosa yako ya zamani. Wengine hawatamaanisha mabaya lakini maneno yao yanaweza kukupunguzia imani yako.

Ndiyo maana unapaswa kujifunza kuwa kiziwi kwa kila neno la kukatisha tamaa. Usiruhusu kila sauti iingie moyoni mwako. Baadhi ya maneno yana sumu na yakigusa rohoni yanaua matumaini taratibu. Ziba masikio yako unaposikia maneno ya woga, mashaka na kukutia udhaifu. Sikiliza yale tu yanayokutia moyo na yale yanayokusukuma kusonga mbele.

Kumbuka Shetani huzungumza kupitia maneno ya kukatisha tamaa lakini Mungu huzungumza kupitia maneno ya tumaini, upendo na imani. Kwahiyo Chagua ni sauti ipi itatawala maisha yako.

[Mithali 4:23-24]👇

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.

Amiri Jeshi Mkuu: Rais Dkt. William Samoei Ruto.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
14/10/2025

Amiri Jeshi Mkuu: Rais Dkt. William Samoei Ruto.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

13/10/2025

Usimchukie mtu ambaye ni tajiri kukushinda

New couple
30/09/2025

New couple

Mpende Mume Wako Kwa Upendo wa agape Asichepuke, akichepuka ni uzembe Wako!Mpende Mume Wako Kwa Upendo wa Agape akutunze...
28/09/2025

Mpende Mume Wako Kwa Upendo wa agape Asichepuke, akichepuka ni uzembe Wako!

Mpende Mume Wako Kwa Upendo wa Agape akutunze asipokutunza ni uzembe Wako!

Mpende Mume Wako Kwa Upendo wa Agape Akulishe akikulaza njaa ni uzembe Wako!

Mpende Mume Wako Kwa Upendo wa Agape asikuache akikuacha ni uzembe Wako.

Mpende Mume Wako Kwa Upendo wa Agape Asikuue,akikuua ni uzembe Wako.

Unaweza kufanya mema meengi ila siku ukifanya baya moja basi ilo baya moja uonekana kwa ukaribu kuliko mema..Cheki likon...
27/09/2025

Unaweza kufanya mema meengi ila siku ukifanya baya moja basi ilo baya moja uonekana kwa ukaribu kuliko mema..

Cheki likondooo jeusi linavyoonekana sana na lipo limoja tu mamiaaaa

25/09/2025

Dear Women, Hakikisha urembo wako hauzidi tabia yako hii ni kinga ya kuvuta Mapendo na kuepuka Magendo🙏🏿

24/09/2025

Siku moja Itafika utaelewa kwanini Mungu alitaka usubiri.

Huyu Mungu Yupo, Alisema Atatupigania Sisi Tutanyamaza Kimya Leo Nimemuona Amefanya Makubwa Nina Ushuhuda Amenipigania��

Kumtegemea Mungu kuna faida ����

After DNA test.. 🤣🤣
24/09/2025

After DNA test.. 🤣🤣

Address

Kwale
Nairobi
001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Studio Twese Twotera Imbere Serie Films Comedi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Studio Twese Twotera Imbere Serie Films Comedi:

Share