DJ DENII DENITO

DJ DENII DENITO The deejay whose desire is to Give you Full wanted music.
(3)

DJ BY PASSION AND SPIRIT.welcome to the official page of Dj Denii denito a.k.a the reflector a.k.a the funky master.

Keep on smiling.. happiness More blessings.
29/09/2025

Keep on smiling.. happiness More blessings.

Huwa nachungulia maisha.. Sai ningekuwa nishaambiwa "babe tulia Kwanza usiende🥹" Lakinii mlimroga.. Woooii.             ...
22/09/2025

Huwa nachungulia maisha.. Sai ningekuwa nishaambiwa "babe tulia Kwanza usiende🥹" Lakinii mlimroga.. Woooii.

MASOMO LABDA UFANYE KAZI UPTOWN,HIZI MALL ZA TAO MOI AVENUE BILA SURA POA AMA HAGA KUBWA LABDA UFUNGUE DUKA YAKO UJIANDI...
13/09/2025

MASOMO LABDA UFANYE KAZI UPTOWN,HIZI MALL ZA TAO MOI AVENUE BILA SURA POA AMA HAGA KUBWA LABDA UFUNGUE DUKA YAKO UJIANDIKE
😂😂😂jikaze kiumwanaume.

Mnasema ati kibaridi Cha asubuhi Nairobi..enda naivasha.. utajua maana ya weka mate niteleze🤗🤗🤗🎉🐎
13/09/2025

Mnasema ati kibaridi Cha asubuhi Nairobi..enda naivasha.. utajua maana ya weka mate niteleze🤗🤗🤗🎉🐎

Mechi moja safi na style mingi deadly ,,Ushaanza kuniuliza what are we🫵😂 ?? Msichana vaa nguo Sisi ni washerati😂💀       ...
09/09/2025

Mechi moja safi na style mingi deadly ,,Ushaanza kuniuliza what are we🫵😂 ?? Msichana vaa nguo Sisi ni washerati😂💀

ᩣシ

Leo nimeamkaa nikafanye mazoezi kidogo ya kukimbiaa😔 nimeanza tuu kukimbiaa nikakumbuka kwenye biblia wamesema waovu wat...
08/09/2025

Leo nimeamkaa nikafanye mazoezi kidogo ya kukimbiaa😔 nimeanza tuu kukimbiaa nikakumbuka kwenye biblia wamesema waovu watakimbia bila kukimbizwaa nimerudi kulala bhana😁😁😁😆😆

ᩣシ

I opened two gifts this morning. They were my eyes. Thank God, not everyone did.      ᩣシ
01/09/2025

I opened two gifts this morning. They were my eyes. Thank God, not everyone did.

ᩣシ

Not all bad things happening in your life are bad,majority create new opportunities.  Others will shield you from enemie...
01/09/2025

Not all bad things happening in your life are bad,majority create new opportunities. Others will shield you from enemies

ᩣシ

Hakuna kitu naomba sana Kwa MUNGU k**a kupata peace of mind Amani ya roho ni expensive sana     ᩣシ
30/08/2025

Hakuna kitu naomba sana Kwa MUNGU k**a kupata peace of mind
Amani ya roho ni expensive sana

ᩣシ

I'm hungry for success lakini nkipatana na ugali ntakula kwanza 😪😪   Dj 🎤 👑                        ᩣシ
30/08/2025

I'm hungry for success lakini nkipatana na ugali ntakula kwanza 😪😪

Dj 🎤 👑

ᩣシ

Peleka mtu wako lojooo kuliko kwa keja ya beshte yako..utachoma bet walai..unawekewangwaa timekeeper..    #    #
26/08/2025

Peleka mtu wako lojooo kuliko kwa keja ya beshte yako..utachoma bet walai..unawekewangwaa timekeeper..

# #

SAI UNGEKUA UNA FURAHIA K**A PATELLO SHIDA NI VILE WE UNAHESHIMU WAMAMA NA LABDA NYOTA YAKO YA KUOMOKA IKO UKO K**A YANG...
25/08/2025

SAI UNGEKUA UNA FURAHIA K**A PATELLO SHIDA NI VILE WE UNAHESHIMU WAMAMA NA LABDA NYOTA YAKO YA KUOMOKA IKO UKO K**A YANGU.. Bure kabisaa 😂😂😂 ...

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJ DENII DENITO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share

Category