
12/06/2025
KUPPET TAITA TAVETA Inawaalika Walimu wote na Umma kwa Ujumla 13/6/2025 Ijumaa Kwa Huduma ya Kuwasha Mishumaa kwa Marehemu Mwalimu Albert Ojwang' Grace Park Building Mwatate saa kumi jioni Mavazi ikiwa ni Shati Nyeupe/T-shirt.Mwambie Rafiki Amwambie Rafiki!!!🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️
Mungu ailaze roho ya Mwalimu Albert Ojwang' pahali patakatifu 🕊️🤍🙏😌.