29/03/2025
MIMI:- Mwalimu, nina swali 🙋🏾♂️
MWALIMU:- Ni lipi? 🙄
MIMI:- Unamweka aje tembo ndani ya friji? 😜
MWALIMU:- Sijui 😒
MIMI:- Ni rahisi sana, unafungua friji na kuweka tembo ndani 😁
MWALIMU:- Sawa 🙊
MIMI:- Na unamweka aje punda ndani ya friji? 😜
MWALIMU:- Rahisi sana, unafungua friji na kuweka punda ndani 😀
MIMI:- Hapana, kwanza unatoa tembo kisha unaweka punda ndani 😜
MWALIMU:- Ooohhh sawa 🤔😊
MIMI:- Nina swali lingine 🙋🏾♂️
MWALIMU:- Endelea 🤔
MIMI:- K**a wanyama wote watahudhuria sherehe ya kuzaliwa ya simba, ni mnyama gani hatakuwepo na kwa nini? 😁
MWALIMU:- Wanyama wote hawatakuwepo kwa sababu simba atawala 😁
MIMI:- Hapana, ni punda kwa sababu bado yuko ndani ya friji 😜
MWALIMU:- Lazima uwe na kichaa 🙄
MIMI:- Mimi sio kichaa,... swali la mwisho 🙋🏾♂️
MWALIMU:- Sawa, endelea 😏
MIMI:- Utavukaje mto uliojaa mamba na hakuna daraja?
MWALIMU:- Si rahisi, nitatumia boti 🤨
MIMI:- Hapana, wanyama wote walihudhuria sherehe ya kuzaliwa ya simba, kwa hiyo mamba pia yuko huko, wewe pita kwa kuogelea tu 💁🏽♂
MWALIMU:- Wewe ni mjinga, toka darasani mwangu 🙄🤧
Mmi-Haiyaaaa😒🏃🏾♂️💨