06/06/2026
UPIGIA KURA WIMBO GANI KWENYE ?
Chagua wimbo unaougusa moyo wako na kumpa Mungu sifa yako:
1. Mungu Mkuu – Mungu amesalia kuwa Mkuu maisha yako
2. Utukuke – Unampa Mungu utukufu kwa kila hatua
3. Ni Neema – Unakumbuka neema ya Mungu juu yako
4. Shukrani – Unamshukuru Mungu kwa yote aliyokufanyia
5. Amefanya Mungu – Ushuhuda wa mambo makuu aliyotenda
Tuma jina la wimbo unaoupenda na upige kura yako sasa kwa SMS 23813. Mc King'ori