11/10/2025
I released this mixtape back on 17th dec 2021 sasa juzi juzi naanza kuona your favourite deejays wakitoa zao na nimeskia mix za wawili ambao wamefanya transition ya hizi ngoma mbili zikifwatana k**a nlivyofanya mimi.... sitawataja lakini😛😃