
30/07/2025
Hii Leo ni siku ya maadhimisho ya kusitisha ulanguzi au usafirishaji wa binadamu duniani.
Maadhimisho haya yamengoa nanga na yanaendelea katika County yetu ya Nakuru katika uwanja wa Nakuru ASK Showground.
Kauli mbiu ikiwa; "Human trafficking is an organized crime;Stop Exploitation."