Radio Osotua

Radio Osotua Osotua Radio 89.0 Fm | Kituo nambari 1 katika uenezaji wa amani.

ERISHATA ORKIU LENTARA 89.0FM KIBOITARE NANU David Ole Ntayia JUMATANO NTARIKINI 5.8.2026 8:00PM > 11:00PM 0797577229/07...
05/08/2026

ERISHATA ORKIU LENTARA 89.0FM KIBOITARE NANU

David Ole Ntayia

JUMATANO NTARIKINI 5.8.2026

8:00PM > 11:00PM

0797577229/0734005267

KAAJI IGIRA ATUMIE YIOK TENA OLONG .....?

UNATEGEA IDHAA YA RADIO OSOTUA UKIWA PANDE GANI?0797 577229
05/08/2026

UNATEGEA IDHAA YA RADIO OSOTUA UKIWA PANDE GANI?
0797 577229

Je, ni changamoto gani kuu inayowafanya wanaume wengi kusita kushiriki au kuzungumzia masuala ya afya ya uzazi, na tunaw...
05/08/2026

Je, ni changamoto gani kuu inayowafanya wanaume wengi kusita kushiriki au kuzungumzia masuala ya afya ya uzazi, na tunawezaje kuirekebisha?Tuko na wageni wetu maalum:
Stephen Paan (Narok County Youth Council Network / Accelerate Program)
Paul Mutinda (PS Kenya / Accelerate Program)
Maureen Naisula (Narok County Youth Council Network / Accelerate Program)
Dira ya Kazi Lady Tabzz
0797 577229/0734005267
www.radioosotua.co.ke

๐Ÿ“– Masomo ya Misa (Jumatano, Agosti 5, 2026)Somo la kwanzaYer 31:1โ€“7Wakati huo, asmea Bwana, nitakuwa Mungu wa jamaa zote...
05/08/2026

๐Ÿ“– Masomo ya Misa (Jumatano, Agosti 5, 2026)

Somo la kwanza
Yer 31:1โ€“7
Wakati huo, asmea Bwana, nitakuwa Mungu wa jamaa zote za Israeli, nao watakuwa watu wangu. Bwana asema hivi, Watu wale walioachwa na upanga walipata neema jangwani; yaani, Israeli, hapo nilipokwenda kumstarehesha. Bwana alinitokea zamani, akisema, Naam, nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu. Mara ya pili nitakujenga, nawe utajengwa, Ee bikira wa Israeli, mara ya pili utapambwa kwa matari yako, nawe utatokea katika michezo yao wanaofurahi. Mara ya pili utapanda mizabibu juu ya milima ya Samaria; wapanzi watapanda, nao watayafurahia matunda yake. Maana kutakuwa siku moja, ambayo walinzi watalia juu ya vilima vya Efraimu, Inukeni tukaende Sayuni, kwa Bwana, Mungu wetu.
Maana Bwana asema hivi, Mwimbieni Yakobo kwa furaha, mkampigie kelele mkuu wa mataifa, tangazeni, sifuni, mkasema, Ee Bwana, uwaokoe watu wako mabaki ya Israeli.

Wimbo wa Katikati
Yer 31:10โ€“13
Lisikieni neno la Bwana,
Enyi mataifa, litangazeni visiwani mbali,
Mkaseme Aliyemtawanya Israeli atamkusanya,
Na kumlinda, k**a mchungaji alindavyo kundi lake.
Kwa maana Bwana amemweka huru Yakobo,
Amemkomboa mkononi mwake
Aliyekuwa hodari kuliko yeye.
(K) Bwana atatulinda k**a mchungaji alindavyo kundi lake.

Nao watakuja, na kuimba katika mlima Sayuni,
Wataukimbilia wema wa Bwana, nafaka, na divai;
Na mafuta, na wachanga wa kondoo na wa ngโ€™ombe
Na roho zao zitakuwa k**a bustani iliyotiwa maji;
Wala hawatauzunika tena kabisa.
(K) Bwana atatulinda k**a mchungaji alindavyo kundi lake.

Ndipo bikira atafurahi katika kucheza,
Na vijana na wazee pamoja;
Maana nitageuza masikitiko yao kuwa furaha,
Nami nitawafariji,
Na kuwafurahisha waache huzuni zao.
(K) Bwana atatulinda k**a mchungaji alindavyo kundi lake.

Shangilio
Zab 119:105
Aleluya, aleluya,
Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.
Aleluya.

Injili
Mt 15:21โ€“28
Yesu aliondoka Genezareti akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Makananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana unisaidie. Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, Imani yako ni kubwa; na iwe kwako k**a utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.

Habari ya Asubuhi. Captain Kevin Wekesa na Christine Milanoi. Hotline: 0797 577229radioosotua.or.ke
05/08/2026

Habari ya Asubuhi.
Captain Kevin Wekesa na Christine Milanoi.
Hotline: 0797 577229
radioosotua.or.ke

ERISHATA ORKIU LENTARA 89.0FM David Ole Ntayia  KAA MURWA IGIRA ATUMIE YIOK....? 0797577229/0734005267
04/08/2026

ERISHATA ORKIU LENTARA 89.0FM

David Ole Ntayia

KAA MURWA IGIRA ATUMIE YIOK....?

0797577229/0734005267

GOOD AFTERNOON!UNATEGEA IDHAA YA RADIO OSOTUA UKIWA PANDE GANI?0797 577229
04/08/2026

GOOD AFTERNOON!
UNATEGEA IDHAA YA RADIO OSOTUA UKIWA PANDE GANI?
0797 577229

Ni ujuzi gani,unaofaa kila kijana kuwa nayo Kwa Karne hii?Tuchaoe kazi Dira ya Kazi na Lady Tabzz  0797577229/0734005267...
04/08/2026

Ni ujuzi gani,unaofaa kila kijana kuwa nayo Kwa Karne hii?
Tuchaoe kazi Dira ya Kazi na Lady Tabzz
0797577229/0734005267
www.radioosotua.co.ke

๐Ÿ“– Masomo ya Misa (Jumanne, Agosti 4, 2026)Somo la kwanzaYer 30:1-2, 12-15, 18-22Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kuto...
04/08/2026

๐Ÿ“– Masomo ya Misa (Jumanne, Agosti 4, 2026)

Somo la kwanza
Yer 30:1-2, 12-15, 18-22
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa Bwana, kusema, Bwana Mungu wa Israeli, asema hivi, ya kwamba, Uyaandike kitabuni maneno hayo yote niliyokuambia.Maana Bwana asema hivi, Maumivu yako hayaponyekani, na jeraha yako ni kubwa. Hapana mtu wa kukutetea; kwa jeraha yako huna dawa ziponyazo. Wote wakupendao wamekusahau; hawakutafuti; maana nimekujeruhi kwa jeraha ya adui, kwa adhabu ya mtu mkatili; kwa sababu ya ukubwa wa uovu wako, kwa sababu dhambi zako zilikuwa zimeongezeka. Mbona unalilia maumivu yako? Hayaponyeki maumivu yako; kwa sababu ya ukubwa wa uovu wako, kwa sababu dhambi zako zimeongezeka, nimekutenda haya. Bwana asema hivi, Tazama, nitarudisha tena hema za Yakobo zilizohamishwa, na kuyahurumia makao yake; nao mji huo utajengwa juu ya magofu yake wenyewe, nalo jumba litakaliwa, k**a ilivyokuwa desturi yake. Tena kwao itasikiwa shukrani, na sauti yao wachangamkao; nami nitawazidisha, wala hawatakuwa wachache; tena nitawatukuza, wala hawatakuwa wanyonge. Watoto wao nao watakuwa k**a zamani, na kusanyiko lao litathibitika mbele zangu, nami nitawaadhibu wote wawaoneao. Na mkuu wao atakuwa mtu wa kwao wenyewe, naye mwenye kuwatawala atakuwa mtu wa jamaa yao; nami nitamkaribisha, naye atanikaribia; maana ni nani aliye na moyo wa kuthubutu kunikaribia? Asema Bwana. Nanyi mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.

Wimbo wa Katikati
Zab 102:15-20, 28, 21-22
Kisha mataifa wataliogopa jina la Bwana,
Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;
Bwana atakapokuwa ameijenga Sayuni,
Atakapoonekana katika utukufu wake,
Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa,
Asiyadharau maombi yao.
(K) Bwana atakapokuwa ameijenga Sayuni, atakapoonekana katika utukufu wake.

Kizazi kitakachokuja kitaandikiwa hayo,
Na watu watakaoumbwa watamsifu Bwana.
Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu,
Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi,
Ili akusikie kuugua kwake aliyefungwa,
Na kuwafungua walioandikiwa kufa.
(K) Bwana atakapokuwa ameijenga Sayuni, atakapoonekana katika utukufu wake.

Wana wa watumishi wako watakaa,
Na wazao wao wataimarishwa mbele zako.
Watu walitangaze jina la Bwana katika Sayuni,
Na sifa zake katika Yerusalemu,
Pindi mataifa watapokusanyika pamoja,
Falme nazo ili kumtumikia Bwana.
(K) Bwana atakapokuwa ameijenga Sayuni, atakapoonekana katika utukufu wake.

Shangilio
Zab. 27:11
Aleluya, aleluya,
Ee Bwana, unifundishe njia yako, na kuniongoza katika njia iliyonyoka.
Aleluya.

Injili
Mt 15:1-2, 10-14
Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema, Mbona wanafunzi wako huyahalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula. Akawaita makutano akawaambia Sikilizeni, mfahamu; Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi. Ndipo wanafunzi wake walipomwendea, wakamwambia, Wajua ya kuwa Mafarisayo walipolisikia neno lile walichukizwa? Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa. Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.

Good morning Early Risers. Unasikiliza ukiwa wapi?radioosotua.or.ke
04/08/2026

Good morning Early Risers.
Unasikiliza ukiwa wapi?
radioosotua.or.ke

Address

St. Peter's Catholic Parish Majengo-Narok
Narok

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254758588673

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Osotua posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Osotua:

Shortcuts

Share

Category