Hon Shortmàn Ole Shànioduà

Hon Shortmàn Ole Shànioduà A man of the people who can serve Kenya well and make the real changes. Help me Jehovah God
(3)

10/12/2025

Mr Sammie Kerry zoea hiyo sauti mapema. Na usiambie mdosi asikatize mshahara wako.

Ati mnanung'unika nini?Jaribuni huyu muone mkijiharibia mipango iliyokamilika.Medalareki Ole Karbuali Paul.Wewe chunga l...
10/12/2025

Ati mnanung'unika nini?
Jaribuni huyu muone mkijiharibia mipango iliyokamilika.
Medalareki Ole Karbuali Paul.
Wewe chunga lakini yako sawasawa .

Hon Douglas Masikonde ameshakula bibilia k**a MCA Narok North town ward Oleleshwa SASA ni kufanya kazi.Ahsante Sana Hon....
10/12/2025

Hon Douglas Masikonde ameshakula bibilia k**a MCA Narok North town ward Oleleshwa SASA ni kufanya kazi.
Ahsante Sana Hon.Martine Ole Kamwaro , Mission accomplished.
Ogopa Mungu kila wakati
Kwa heri Narok North.

10/12/2025

A son of the soil, Mtoto wa mkulima interacting with the leaders and youths in Duka Moja keekonyokie.
~
Hon Gishengo Mathews Senei

09/12/2025

Today's big question.
Niulixeni nitajibu hapa.
Keekonyokie ward ni Tano Tano na ukiamua kusonga hapo mbele ni sawa

09/12/2025

Having watched the viral video of two ladies from the county fighting in front of Mzee John NKUKUU Ole Kimanjoi, I concluded that the ladies were in a plot to attack any man who would interfere. Also I saw the ladies as disrespectful to the elderly in the society when they refused to be separated by mzee. I think they're not intoiyie o ormasae according to their bad behaviour.
As a young man I say pole to the people of Narok county because of this shameful ladies.

Nyinyi watu wengi nyinyi, sitasemema chochote ila Mungu Baba awazidishie upendo na neema zake. Huu upendo unadhihirisha ...
09/12/2025

Nyinyi watu wengi nyinyi, sitasemema chochote ila Mungu Baba awazidishie upendo na neema zake. Huu upendo unadhihirisha Imani yenyu iko juu. Safari huanza na hatua moja Hadi umbali usiohesabika.

My former Team Let this not worry you much. We'll make this one much stronger than the previous one.
08/12/2025

My former Team Let this not worry you much.
We'll make this one much stronger than the previous one.

only one day postponement. We will wait until Wednesday
08/12/2025

only one day postponement. We will wait until Wednesday

Huyu amesema tusamehe John Nuge  ati ni madawa huwa saa zingine inachemka wakati wa jua.
08/12/2025

Huyu amesema tusamehe John Nuge ati ni madawa huwa saa zingine inachemka wakati wa jua.

Address

Junction Ntulele
Narok
137NAIRAGIEENKARE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hon Shortmàn Ole Shànioduà posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share