Shortmàn Ole Shànioduà

Shortmàn Ole Shànioduà A man of the people who can serve Kenya well and make the real changes. Help me Jehovah God
(1)

11/09/2026

My opinion.
Na jee moshoro ikiorodheshwa k**a sub location assistant chief atolewe Nailogilog kutakuwa na shida Kweli? Ili kuponya mawazo yetu naona niandike proposal ya Moshoro Sub Location within Keekonyokie ward na applicants of the position asst chief first priority ipewe our brothers kutoka Nailogilog.

K**a Mungu alipanga Mr Karatina Ole Maloi awe chifu ni vyema tukubali na tutoke hapo.Nothing can revoke his appointment ...
11/09/2026

K**a Mungu alipanga Mr Karatina Ole Maloi awe chifu ni vyema tukubali na tutoke hapo.
Nothing can revoke his appointment unless otherwise.
Atatuhudumia Sisi wote bila mapendeleo.
KAZI ya chifu sio k**a ya mwanasiasa, hii ni KAZI mhimu ambayo inataka tukubaliane k**a jamii ili tusiwe na mgawanyiko manake huyu atatuongoza miaka mingi kabla astaafu.
Na Kwa wale hawakutarajia hivyo, msijali kuna Kesho ambayo hata eye atawaunga mkono.~ Shortmàn Ole Shànioduà , the Chief Maasaikokoyo.

10/09/2026

Hon Gishengo Mathews in conjunction with Hon Dickson Sarbabi Maliza Kiu Initiatives today at Olesharo Primary School where he witnessed the supply of water 🌊💦 to the community and schools.
It is now confirmed that water scarcity is a disaster in the entire Narok East.

10/09/2026

Maliza Kiu Initiatives .
Thank you my boss Hon Dickson Sarbabi for the good dead to the community. Present today was the MCA aspirant Hon Gishengo Mathews who said Hon Sarbabi Dickson is doing a commendable job for the benefit of the people.
Mungu akubariki zaidi.

10/09/2026

Maliza Kiu Initiatives
Once again thank you so much Hon Dickson Sarbabi , maji ni uhai. This is beyond politics.
Hata kwenyu tutakuja.

Enteke E Kulankash alikuwa mobilizer mzuri akafukuzwa kimadharau
10/09/2026

Enteke E Kulankash alikuwa mobilizer mzuri akafukuzwa kimadharau

10/09/2026

Maliza Kiu Initiatives
Thank you Hon Dickson Sarbabi , on behalf of the people of Kormoto tumesema Ashanti na urudi TENA.

Hon Dickson Sarbabi hawezitulia k**a watu kuna kiangazi, ameamua kushughulikia maji Kwanza biashara zingine zitafuata ba...
09/09/2026

Hon Dickson Sarbabi hawezitulia k**a watu kuna kiangazi, ameamua kushughulikia maji Kwanza biashara zingine zitafuata baadaye. Ikikosekana hapa shuleni anaifuata Kwa jirani.
Tuweke maeneo yetu kwenye maombi tukipewa mashini maji ipatikane.

09/09/2026

Appreciation.
Abhishek Mehera now that they are calling you my names accept and move on. You can even use my picture as your profile picture and share your digits to me.
Umetukanwa Sana juu yangu

Hon.Martine Ole Kamwaro representing the electorate of the narok north
09/09/2026

Hon.Martine Ole Kamwaro representing the electorate of the narok north

Address

Junction Ntulele
Narok
137NAIRAGIEENKARE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shortmàn Ole Shànioduà posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share