Smart k Media

Smart k Media Smart k Media is a privately owned community media Company Our focus is to publish reallocal stories Smart k Media is a privately owned community media Company.

Our focus is to publish real local stories that are not usually covered by national media. We cover Kajiado North kajiado East kajiado west and kajiado Central Community

16/11/2025

Tabitha Ruguru HSC thanks giving at Apostolic faith church Ngong

16/11/2025
15/11/2025

Ngong CHP remains the best in Kajiado North. Through their dedication, Ngong Hospital has now increased its capacity by 40%.
Sema CHP wa Ngong wabarikiwe!

14/11/2025

Haijakuwa rahisi kufikia hatua hii ya kupewa Tuzo la Ushujaa na Rais William Ruto. Safari imekuwa ya kazi ngumu, lakini ni kazi ninayoipenda kuwasaidia wenzangu kupata elimu na chakula.

Kwa moyo wa shukrani, nakualika kwenye ibada ya shukrani itakayofanyika:

Siku: Jumapili, tarehe 16
Muda: Saa 8 mchana (2:00 PM)
Mahali: Apostolic Faith Church, Ngong

Nitafurahi sana kukutana nawe tusherehekee neema na hatua hii muhimu pamoja. Tabitha Ruguru HSC

Karibu sana!

13/11/2025

In God arms you rest..11th hour
Tribute to Betty Bayo

13/11/2025

Wafanyabiashara katika soko la El Paso wamepata afueni baada ya mahakama kutoa amri ya kuwalinda dhidi ya notisi ya kufurushwa, kufuatia madai ya mtu binafsi kwamba ardhi ya umma ni mali yake.
Wakili Shadrack Wambui, kupitia mradi wake wa Sheria Mtaani, aliingilia kati ili kutetea wafanyabiashara hao na kuhakikisha haki inatendeka.

12/11/2025

“Don’t pay yet it’s against the law,” “Let’s wait for the judgment on December 18. The county can not legally increase allotment rates without an existing valuation law.”
Wakili Wambui

12/11/2025

Case No 2. El Paso market Land case

12/11/2025

Court Case. Kajiado county government, kajiado county assembly vs kajiado North residents on allotment rates increase up to 6500

Live Broadcast courtesy of Maggie herbal
Are you looking for herbal remedies and natural food spices to boost your immunity? 🌿
Karibu Ngong Market, First Floor where health meets nature!

Is the Iron Lady Mapenzi Baya Back to Politics?Through her Facebook account, Baya seems to be indirectly confirming her ...
12/11/2025

Is the Iron Lady Mapenzi Baya Back to Politics?
Through her Facebook account, Baya seems to be indirectly confirming her return to the political scene this time eyeing the MCA seat for Oloolua Ward. While she’s yet to make an official announcement, her cryptic posts suggest a quiet but calculated comeback like a tiger silently hunting a lion.

12/11/2025

Wachana na kwa jirani kuja nyumbani soko ya bul haina stima 1 year now
Kuria wa kuria

Address

Ngong
3

Telephone

+254701734861

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smart k Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Smart k Media:

Share