16/01/2026
Nandi hills police this is so wrong.
What crime did they commit?
Hii ninini sasa wamekosea nani kucheza pool tu!!!!!ni makosa gani wamefanya, hakuna makosa inapea polisi ruhusa ya kukupiga inafaa akushike akupeleke kortini kazi yake ni hiyo. Hata wanafunzi hawachapwi hivi.Thats why you see akunaga relationship mzuri kati ya polici na raiya.juu tell me why.nkt.
This is so wrong.
Justice should be served.
updates
tv