
22/02/2025
I called my dad today and told him Kuna siku I'll pick him up twende tununue hii gari
He's a very good mechanic si unajua huyu ataniambia k**a engine Iko sambamba gear box etc
But one person I'll not forget to carry is my mum huyu atabargain Hadi kwa petrol station
Seller akisema 2million my mum atasema tuko na 50k mbele nyuma 🤣
I can't wait to drive this machine of mine
Eiiiii God usikawishie mimi hii gari ♥️♥️