Bahatifmkenya

Bahatifmkenya Broadcasting company

05/09/2025

Mumunyana biu noumenye ona waku he mundu utarakoma atamuonete

Painful truth:A lot of people wear wedding rings, live in the same house, even raise children together… yet in reality, ...
04/09/2025

Painful truth:
A lot of people wear wedding rings, live in the same house, even raise children together… yet in reality, they are nothing more than housemates.

Marriage is not just about sharing a surname, paying bills, or sleeping under the same roof. True marriage is about connection — friendship, laughter, deep conversations, emotional safety, and intimacy that goes beyond the physical.

When couples stop talking, stop laughing, stop holding hands, stop praying together… love quietly dies, and what remains is just a silent partnership.

Don’t allow your marriage to become a cold routine.
Reignite the spark. Choose each other daily. Protect your friendship. Build intimacy. Pray together. Love loudly.

Because a marriage without love and connection is just an arrangement, not a covenant.

Nimepatana na post mingi wasichana wakicomplain pesa zao zinakuliwa na wazazi wao ....most of this ladies or girls ni we...
04/09/2025

Nimepatana na post mingi wasichana wakicomplain pesa zao zinakuliwa na wazazi wao ....most of this ladies or girls ni wenye wanafanya kazi out of the country ..

Am not good in advice but ningependa kusema ama kuchanua wenye wako Kwa process ya kuenda kazi za nche... remember ukitumia mzazi wako pesa hatakosa kukula na hakuna chenye utamfanyia..

Ukishaalipwa na your boss ..pingia mwenye anatoa pesa mwambie akuekee pesa zako Kwa your MPES-A ... Sasa kula pesa zako na wenye unataka ni hayo tu Kwa Sasa...

Hatutaki mlio lio huku social media

The pain of living in this world without parents.Wakati unatumwa school fees home unakumbuka mama na baba mchanga ushawa...
04/09/2025

The pain of living in this world without parents.Wakati unatumwa school fees home unakumbuka mama na baba mchanga ushawameza.Wakati unatoka shule na report card yako no one to check it and encourage you to continue working hard.wakati wengine wanafurahi they are going to meet their parents after being in boarding school .Ww unaenda kukutana na kaburi.Wakati wengine wakitamka jina baba ww ni uchungu.Mungu kumbuka mayatima wote kwenye huu ulimwengu.

Wakati Wanaume wao simu zao wanatumia kupost biashara zao mtandao mfano.nguo.viatu vitanda simu na mahindi. nk.boda boda...
03/09/2025

Wakati Wanaume wao simu zao wanatumia kupost biashara zao mtandao mfano.nguo.viatu vitanda simu na mahindi. nk.boda boda nao wanatumia simu kuwasiliana na wateja wao........sisi wanawake tupo busy kutumia simu kukaa uchi na kupiga picha mapaja na vichupi vyetu kupost mitandaoni ili tufanye biashara halamu ya kuwaibia wanaume pesa zao kwa kukaa uchi Mitandaoni.......na ndo maana unakuta mdada ana maisha magumu lakini anamiliki simu ya 50,000 Hana kazi nayo zaidi ya kubinuwa matako status ili awaibie wanaume na apewe sifa endeleeni kukaa uchi Mitandaoni..... utandawazi hauwathili mtu baana akili yako ya kijinga wewe mwenyewe mtumiaji wa simu unautumia vibaya. ..... mbona wanaume wanatumia simu kwa mambo ya msingi.........poa dada endelea kujipodoa na kujianika mitandaoni Tako na mapaja viko wazi pengine utaolewa na comment
👇
Everyone󱢏

Dunia ya leo wanawake tumekuwa na tamaa ya kumiliki pesa nyingi/ mali nyingi hii ni kwasababu tunahitaji kuiteka nguvu y...
02/09/2025

Dunia ya leo wanawake tumekuwa na tamaa ya kumiliki pesa nyingi/ mali nyingi hii ni kwasababu tunahitaji kuiteka nguvu ya utawala kutoka kwa Wanaume, leo hii mwanamke anaweza kumdhuru Mme wake kwa namna yeyote ile kutokana na mali walizo chuma pamoja kwa mda mrefu ili tu abaki na utawala wa mamlaka ya kila kitu💪💰💰

Na siku zote ni mara chache sana kukuta mwanaume amemdhuru mke wake kisa mali💰💰ila ni mara nyingi sana kuona mwanamke amemrogwa mme wake au kumpumbaza akili ili sauti yake isikike kuliko ya Mme wake😤😰 kitu tusicho kijua wanawake ni kwamba mwanaume anaweza kukupa utawala wa kumiliki mali zake bila hata ya kumroga wala kumuua kifikra hata kiroho pia, endapo mwanamke utafata haya kamwe Mme wako hawezi kuficha mali zake kwako👇👇

🌺UTIIFU
🙏UNYENYEKEVU
🙋SUBRA
💟HEKMA
😥HURUMA
❤️UPENDO

Haya ni mambo ambayo mwanamke ukimtendea Mme wako utaifurahia sana mali yake bila masharti yeyote, tupunguze kuwaroga hawa watu ndugu zao wali walea ili waje waone matunda yao na siyo kuona watoto wao wakiishia kurogwa na kuwa mazuzu📌📌📌📌


Phoibe Mbaga
0625 635 306

01/09/2025

Thina munene ona ti kuhika kana kuhikania

S*x is easy to get. Love is hard to find. Money is even more difficult to come by.So, if you are a woman and your husban...
30/08/2025

S*x is easy to get. Love is hard to find. Money is even more difficult to come by.
So, if you are a woman and your husband gives you all three, my dear, you better make your home a sanctuary of peace and an oasis of relaxation for him. Because, a man like your husband is another woman's prayer request.
Don't allow your behaviour to turn him into the answer to their prayers. If you keep tossing him around like a football, one woman may eventually catch him like a goalkeeper.

Ukianza kudate mtu alafu ugundue ni bibi ya mtu ama bwana ya mtu, that’s the point you should end the relationship immed...
30/08/2025

Ukianza kudate mtu alafu ugundue ni bibi ya mtu ama bwana ya mtu, that’s the point you should end the relationship immediately… avoid dating peoples husbands or peoples wives, it never ends well… nothing good comes from dating other people spouses, early death , drama and danger always awaits those who date watu wa watu. Be wise.
Everyone󱢏

Mke anasafiri kwenda kutafuta pesa anakuacha mume nyumbani , anakaa wiki au mwezi Halafu anarudi anakaa wiki anasafiri T...
30/08/2025

Mke anasafiri kwenda kutafuta pesa anakuacha mume nyumbani , anakaa wiki au mwezi Halafu anarudi anakaa wiki anasafiri Tena 😃😃😃🤣🤣🤣 nani alikuambia kuwa mke anapaswa kutafuta Hela kuliko wewe ,,?? Mke anaondoka saa 11 Asubuhi anarudi saa 4 usiku Mzee umetangulia home 🤣😃🙄 nani amekuambia vinatendekaga hivyo ?? Mke kikawaida kabisa anapaswa umuhudumue kwa pesa zako yeye akuhudumie wewe na familia nyumbani 🏃🏃🏃🏃

Msije na povu hapa njoo taratibu k**a unanyolewa ..hasa ninyi wanaume mmeharibu sana kizazi hiki kwa kutuacha wanawake tukasake Hela 💔💔 mtajibu Nini kwa Mungu nyie viumbe ?? Hivi mnajua mitego wanayokutana nayo wanawake katika kutafuta pesa ??? Hivi mnajua ajali mbaya zinazotokea mwanamke anapojikita kutafuta pesa 💔

Wanaume popote mlipo nalia na ninyi mmeharibu kizazi hiki kwa kumwacha mwanamke akakabiliane na mambo magumu ambayo hakustahili kabisa kukabiliana nayo
Wakati mwingine wamelazimika kujikuta wakiingia kwenye mtego wa rushwa ya ngono
Wewe Mzee unasema nenda tu kapambane
My wife 💔💔😬

Hii imeleta janga ,wanaume mnalea watoto ambao si wenu kwa sababu tu ya kuwaachia wanawake majukumu yenu,,yaani mtoto kichwa Cha Peter , pua ya bakari na miguu ya John 🙄🙄😬😬😬

Mungu anawaona

29/08/2025

Nilishow jirani twende kibarua akakataa, saa hii nimerudi na unga nikapika chapati akakam kuniomba, nimemwambia atoe letter C.😂

19/04/2025

Nìkìì kìracùngìrìria kùingiha kwa ndigano ihiko-inì cia thikù ici?

Address

Nyahururu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bahatifmkenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share