02/02/2025
Utukufu na heshima Bwana
Ni zako Yahweh, ni zako usiyeshindwa,
Utukufu na heshima Bwana
Ni zako Yahweh, ni zako usiyeshindwa.
πππ
Wewe uliyenihesabia haki
Kwa neema yako, ni zako usiyeshindwa
Mnara wangu wa utukufu
Na kinga yangu, ni wewe usiyeshindwa....
πΆ π΅ πΆ π΅
πππ
γ