
24/08/2025
Mziki wa pwani uko imara, wapo watu wanajituma sana hata k**a wanaandikiwa...
Ila, mtu akibahatika tu kujulikana, ako na fans hapa na pale, wanajisahau wanaanza kuimba kimijikenda. Si hoja, japo ngoma moja... ila kumbuka kuna mashabiki wa bara kabisa na ni vyema wapate message ya wimbo wako! Hapo ndo wanaanza kukuchuja.. Echo 254 Magwaya Ndani Ruby kache