04/11/2025
Hii msimu wa sherehe ukiona barabara imechorwa hivi ,usiulize swali lolote ,fuata tu izo alama ,utakula mchele ,Chapo na labda huku rift valley hutakosa traditional brew (Busar) kidogo 😅
Sitawafunza kila kitu ,Hii inaitwa route ya connection .