31/07/2023
Wenye mnataka wababaz ama boy friends wako na pesa ,muwache Sasa kwenda kwa maclub,hamtawapata,...anzeni Sasa kwenda kwa makanisa,Sunday ikifika oga vizuri,vaa dress yako sexy,(wacha kuvaa k**a mama kanisa wa PAG ama SDA ,ati ndio uonekane umeokokaππππ)paka makeup yako vizuri,na usioverdo,πππhalafu piga spray yako vizuri na ubebe sadaka yako enough, wacha kupeleka aibu kwa kanisa,and make sure nywele yako Iko smart, halafu toka uende kwa hizi makanisa kubwa kubwa k**a JCC,CITAM, PARKLANDS,na catho zingine pia,na ikiwezekana endanga a different church kila Sunday,after all it's that one and same God...,.....and thank me later,.....me nishapata wangu wanne,from different churches.....na hawako old by the way,ππ€π€wako kwa age bracket ya 30-35,..ni wale watu Mungu alitangulia kufikia,...and guess what they are single so Kuna chances za kuolewa hui mwaka,get ready there's free rice,....na k**a kwenu ni mbali,panda mat lakini ukikaribia kufika,ita Uber ama bolt,ndio usilipe pesa nyingi, arrive in style atleast,ju wengi kwa hizo makanisa hukuwa na magari,kwanza hii parklands,... halafu time ya kutoka usikimbilie kutoka,zubaa zubaa hapo kiasi jifanye una socialize na watu,and remember to put on that smile,........ni hayo tu kwa Sasa, follow for more relationship advice πππππππ