16/11/2025
nishakubali..
ju unaona uko na pesa na uko na haraka, unaenda DJ academy na wanakupora kwa kukudanganya na mambo ya sijui Diploma,unachotwa pesa k**a yote.
1: bro ukirudi ground, usiexpect kufika na kuanza. kuhesabu pesa mob,
2:usifikirie unakuja ground hivi,na kazi inajipa.
3: kabla uende,usichague academy ukidhani huko ndo utaiva haraka,k**a wewe si wa kushika kitu utamaliza ata mwaka bila kujua chochote.
4:ukifika ground,usianze kiburi na madharau. ju utapata kuna ninja iliivia mstuni na imeiva k**a mayai boil,itakuaibisha vibaya pressure ikuue ukiimagine pesa umeharibu academy eti unasomea Diploma in DJing.
5: usijenge chuki,ng'angana kujenga urafiki ju hujui Kesho.
6: usiexpect support ya bure, Enye mtu akikulenga unaanza kuongea matope kumhusu.
nmewaacha na hayo kwa Leoππ»
sina ubaya. na ata mnifollow Leo jamani.